90%Mayu toa neno kakaView attachment 1087175
Sipingi kuuza hizo tipfulsa mkuu, kule fb kuna madogo wakamalia toka kenya, tz, sasa wakijirengesha member 200 wa kumtumia hiyo ten maana yake tsh2,000,000 per month sasa mtalingana? lazima akujibu mbovu!
BetpawaWakuu, ni kampuni gani kibongo bongo haikati Kodi? Naona Premier wameshaanza ukuda km m-bet.
Shukrani mkuuBetpawa
Parimatch
Welcome to 1XbetView attachment 1087181
Hiko n kipindi ambacho JF mzima ilikua poa sasahivi na yenyewe imekuwa Pumba tu [emoji23][emoji23][emoji23]Uzi ulikuwa poa 2017 kushuka chini....
Hii ndio Point haswaa, naunga mkono hoja Mkuu!Anachokosea piddy kwa mtizamo wangu mimi ni pale anapo post tips ambazo zinaleta mgongano mfano labda Arsenal vs Everton anaweza post Arsenal Win alafu baadae anakuja anapost double Chance kwa Everton au anasema Correct score 1-0 alafu baadae ana weka hyo hyo mechi GG au Over 1.5 so nikama anachagua option zote ili hata moja ikitiki aje baadae apost kwamba mikeka yake aliyo post imetiki, ishu kama hizo zinaleta mkanganyiko ni bora upost mikeka miwili mizuri kuliko kupost mikeka buku inayoleta confusion!
Nina mashaka na ww tatizo analeta mengi mno atupie ata mbili iviTuache dharau wakuu kitu anachofanya Pdidy ni uungwana sana, maana kuna tips zingine anazoleta hapa jukwaani sio free tips.Hata yeye anakozitoa hazitolewi bure kuna kiasi kikubwa tu analipia.Hivyo sio mbaya kumtunuku kidogo kitu.