Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

*4.28 odds

Everton - Burnley
Substitute Player To Score: No
1.3

Juventus - Torino (Saves)
Double Chance: 12
1.1

Strasbourg - Olympique de Marseille 1 Half (Fouls)
Total: Over 12
1.74

Sevilla - Leganes 1 Half (Fouls)
Total: Over 13
1.72
 
Hatimaye Sportpesa wamenilipa mpunga wangu==>>CONGRATULATIONS! You WON Bonus of Tzs4088341 on JP BetID J35T4R9 for 1 - 10 correct predictions. Tax Tzs817268. Winning after tax Tzs3271073.
Aiseeeh ww kumbe mbabe ivo, mkuu hata ya soda, sie maumivu tu
 
Jaman nimenunua vocha ya mybux hela imekatwa na mlipa ila sijatumiwa vocha sijui nn shida
 
wakuu ninacase moja hapa naomba msaada.

nilinunua voucha my bux via airtel money Jana saa 18:30 jioni ila mpaka sasa sijatumiwa voucha nani mwingine kapata tatizo kama langu?
nifanyeje? Coz kila nikiwaemail mlipa kimya hata simu hawapokei
 
Mimi hapa mkuu toka juzi mlipa jana siku nzima hawapatikani nimewapata leo nikaongea nao wakasema wanashughulikia lakini mpaka mda huu kimya kesho ntawatafuta kwa tusi moja matata sana
 
wakuu ninacase moja hapa naomba msaada.

nilinunua voucha my bux via airtel money Jana saa 18:30 jioni ila mpaka sasa sijatumiwa voucha nani mwingine kapata tatizo kama langu?
nifanyeje? Coz kila nikiwaemail mlipa kimya hata simu hawapokei
Mimi jana nilipata Hilo tatizo, niliwachek M-lipa wakasema upande wa Airtel Una shida,,,nikawacheck Airtel money wakanijibu watairudisha Pesa ndani Ya masaa 72..so Airtel inazingua labda tigopesa au M-PESA
 
FB HIS TORY AIFUTIKI KAANGALIE MDA NIMEWEKA
WHATSUP +255713458722
JOIN VIP LESS PRICE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…