Ok daa siku ya kwanza haikuleta shida kudeposit,siku pili sasa ndo kimya mpaka leoNilitumia Mpesa, ilingia chap tu halafu walikuja kukata salio kwenye mpesa baada ya siku moja.
Ok daa siku ya kwanza haikuleta shida kudeposit,siku pili sasa ndo kimya mpaka leo
Inategemeana na mpunga uliopigaKumbe wana delay kidogo kwenye malipo..matokeo si wanatoaga jumatatu..
Itakuwa system yao haiko vizuri naona walikuwa wanaijaribu wakakuta response ya watu ni kubwaSiku ya kwanza kuijaribu iliingia fasta sana...tokea hapo cjawahi kufanikiwa kudeposit tena.
Emails hazitumwi wala nini, una resend hadi unachoka lakin wapi
Daah hata email hawajibu hela yangu imepotelea hewani nimebaki na hizo vocher codeItakuwa system yao haiko vizuri naona walikuwa wanaijaribu wakakuta response ya watu ni kubwa
Yawezekana na ukiangalia ni wale wale M-LipaItakuwa system yao haiko vizuri naona walikuwa wanaijaribu wakakuta response ya watu ni kubwa
Daaa inakera sana halafu hawapatikani nawatafuta kila mda yaaniDaah hata email hawajibu hela yangu imepotelea hewani nimebaki na hizo vocher code
Wanatutesa sana kiukweliYawezekana na ukiangalia ni wale wale M-Lipa
Bora kutumia card Kama nilivyokuwa natumiaDaaa inakera sana halafu hawapatikani nawatafuta kila mda yaani
Daaa yaani kuna umuhimu wa kutafuta line ya safaricom japo nayo sio safe sana mi 1xbet ndo kila kitu ukiingia na live zako ndani ya masaa mawili kilo tano hukosiBora kutumia card Kama nilivyokuwa natumia
Samahani unaweza kutunia muda wako kidogo kunielekeza hizi mybux,bitcoins ni nini na kipi nahitaji ili niweze kufanya transaction?Kuna mtu kajaribu kuwithdraw kwa mybux hivi karibuni?
Nataka nikwarue mkwanja wote nirudi bitcoins
I smell something fishy
[emoji95][emoji95][emoji95]Hapa vip wadauuuView attachment 1087139
Mkali wa, basket sikuoni kakaBora kutumia card Kama nilivyokuwa natumia
[emoji95][emoji95][emoji95]Mayu toa neno kakaView attachment 1087175
HIZI N FREE TUNAPEANA KWA FB USILIE SANA MBA ZAKO TU KU JOIN FB
MEMBERS HOPE TUMR ENJOYView attachment 1087600View attachment 1087601View attachment 1087602