[emoji23][emoji23][emoji23] inaumaga iyoo aseeee mnangu. sema kuna ile unabet 20k ili ule 40k asa baada ya tim kwenda vzr unaingia unakutana na sell 36k unasema ewaa apa kanji kashkika unaacha kusell. badae unaingia unakuta loss[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23] inaumaga iyoo asee
Hahahah ndo maana nime uliza maana nataka nianze kutumia 1XBET effectivelly nasubir chip ya safaricom mwanangu mmoja iv anakuja nayo...ss nika jua Huko akuna Sell betsema sell znasaidia sna kwa wny presha
Pdidy Nimeahamua kum ignore ili nisimuone tena. Niko likizo natumia faida niliopata. Nitarudi final ya Europa na UCL kisha ntapumzika kusubiria AFCON
😂😂😂😂 ndy vijana wetu hawa, tutafanyaje sasa!! Kama tu "Sell bet" anahic ni kampuni nyingine tofaut ya kubeti, ndy ataweza kuelewa under 0.5 golz FT ya Mayu kweli?Duh kazi kweli kweli..
Dah mkuu hebu ukiwa unatupia nitag kiongozi maana naona futbal sahivi michosho tu ase
pamoja keshoAsubh ya leo nmetuma tim 20.aliyefungwa ni Astana pekee na Blooming haijaanza so wining 18 tims till now
Tomorrow usizarau.
Njoo pm tuyajenge mkuu me pia kwasasa nipo kigoma.ntapataje na mm line ya safari com npo kigoma
Jitahidi Ukumbuke Kiongozi maana vipigo kwenye Futbal vimezidi sasa duh!Ntajitahidi maana siku nyingine najisahau nabet usiku sana karibia game za NBA zikiwa zinaanza, Sema pia mm huwa naweka timu moja tu kwenye kikapu na stake kubwa odds ninazocheza nazo ni kuanzia 1.5 - 2.1
Njoo pm tuyajenge mkuu me pia kwasasa nipo kigoma.
Ni poa mkuuoi niaje bob
Njoo pm tuyajengeoi niaje bob
Ni poa mkuu
Mkuu futbal kila tukijikakamua hakuna kitu, hebu cheki hiiNtajitahidi maana siku nyingine najisahau nabet usiku sana karibia game za NBA zikiwa zinaanza, Sema pia mm huwa naweka timu moja tu kwenye kikapu na stake kubwa odds ninazocheza nazo ni kuanzia 1.5 - 2.1
Nmecheka sana aisee kwel vijana betting tunaibaka duh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndy vijana wetu hawa, tutafanyaje sasa!! Kama tu "Sell bet" anahic ni kampuni nyingine tofaut ya kubeti, ndy ataweza kuelewa under 0.5 golz FT ya Mayu kweli?
AIK ni Sweden Kiongozi sio SerbiaToday high probability of winning
Petrouli win
Rubin Kazan win
Kr Reykjavik
AIK win(serbia)
Psm Makasar win(Indonesia)
Molde win
Coban Imperial win
Lietava Jonava win
Dundalk win
Shamrock Rovers win
Add Midjayland over
Muwe na asubuh njema
Chagua odd unazotak stake wisely.