Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sina chakusema kujiaminisha mimi ni mtu mwema wala kujiaminish nachosema namaanisha shida ya umu kla mtu mjuaji, stak watu million wal wat mia naitaj mtu mmoja tu tukishafik makubaliano nikampatia atakuj kulet mrejesh hum hum nazan ndio mtaelew namaanish nn
 
Acha mbwembwe.. haya mambo tumeyazoea sana humu ndani, wewe sio wa kwanza, nakushauri ubadili strategy ili uonekane tofauti na waliokutangulia labda tunaweza kukuelewa kidogo
 
Acha mbwembwe.. haya mambo tumeyazoea sana humu ndani, wewe sio wa kwanza, nakushauri ubadili strategy ili uonekane tofauti na waliokutangulia labda tunaweza kukuelewa kidogo
Mbuzi Kama Hawa ndio wanaharibu maaana ya huu uzi , wakati tunaanza tulienda vizuri sana naona Sasa watoto wame amia uzi waananza kuuza odd, hembu watoke humu. Kuna mtu alikua anatupa odd hapa Kila siku tunalaza laki sabini na ilikua bure kabisa hivi vinuka mkojo vimekuja na utapeli Sasa humu.
 
Yaani imekuwa shida tupu!
 
Afu msela anajikuta serious et sina chchte cha kufany muamin utak usije [emoji23][emoji23]
 
Nimekujibu mkuu, muda ni mdogo mambo mengi
Hao ndio wale wanao taka kuonekana wao wajuaj wakati kuna watu kwenye huu uzi wako perfect wala hawana tabu Odds wana toa bule ss uyu mwenye app ndo daaah kutuma umu anaona tabu kama ana share kwa kanji....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wa Tz tuna fel sana
Yan hakuna kitu tunachofanya kwa uweledi hata kimoja...

Cha kwanza ulitakiwa atatute app nzuri ya ku edit picha,cha pili atengeneze mikeka hata 7 ya zaman iliowin kwa odd hizo,cha tatu ulitakiwa aingie chimbo kusaka odds za 2.5 kwa umakin wa hali ya juu hata mbili tatu alete hapa....

Watu wangemwelewa sana,angewapiga vilaza kadhaa
 
Hivi hiyo app ni umeitengeneza wewe mpaka unataka kuuzia watu? Hakunaga app ya uhakika zote zinabahatisha tu.
 
Tahadhari kwa wanaotumia premierbet...hivi karibuni wameanza tabia isiyo vumilika na hii siyo kwangu pekee kwani niliona watu wakilalamika humuhumu jf nikaona labda hayatanikuta sasa yamenikuta...tokea juzi betslip yangu inatakiwa iwe won but mpaka sasa status bado haijabadilika bado inasema bet placed...betslip yngu ilikua na timu 6 wakaweka 2 won izo nyingine bado hazijabadilika tokea juzi j3 nimewapigia simu tangia jana naambiwa busy na kwenye social media ndokabisa hawajibu chochote yani very poor customer care....jana tena nimeshinda bet ya timu 2 chaajabu imewekwa lost nanilibet option zakueleweka...so mnatakiwa mjiadhari nahawa wa2 coz ukichukulia poa sasa siku yakikukuta utaelewa
 
hakuna kitu kama hicho yaani ushinde bet afu wakuandikie lost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…