Ndiyo ila siyo Internal,Internal ni mwizi tu kama wezi wenginevip wewe jamaa ashakutumia yako
Wadau Playnaster wanaingiza pesa baada ya muda gani
unaenda menu ya mpesa kenya, unaenda lipa na mpesa, utaingiza bussness number 255255, utaambiwa ingiza account number, utaandika 2557.............. namba lako la voda tz
Dk 3 nyingiWadau Playnaster wanaingiza pesa baada ya muda gani
Unatumia njia gani ku deposit na ku withdraw?
Simba akishinda nakuongezea 10000 nyingne npe namba kabsa
Huu ni mpira ndg sio ngumiSimba akishinda nakuongezea 10000 nyingne npe namba kabsa
Nifundishe basiUnajigomesha mwenyewe
Hawa mybux nadhani wamepotea hewani sababu ya fitina za waTzWadau naomba mnielekeze njia mnazotumia kudeposit 1xbet, naona mybux hawapo hewani,
Tunahamia safaricomHawa mybux nadhani wamepotea hewani sababu ya fitina za waTz
Mkuu hapa moshi napataje hiyo lain..?? Maana internal anasemekana mwizi kama waizi wengine..tafuta line ya safaricom ukiishaipata uje uelekezwe namna ya kuitumia, wauzaji wapo humu humu
tafuta line ya safaricom ukiishaipata uje uelekezwe namna ya kuitumia, wauzaji wapo humu humu
kuna yule jamaa mwingine sio tapeli InternalChonde chonde asije akaelekezwa kwa tapeli Internal.Huyu anatwafutwa na wakamalia.
Lost
Mechi ikiisha, unawekewa hela.Wadau Playnaster wanaingiza pesa baada ya muda gani