Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu kwa anaejua kubet gg na over 2.5 anisaidie tactics
Ndugu yangu betting haina fomula maalum
Unatakiwa ku invest katika kujifunza na kuzijua ligi mbalimbali na kuzijua timu na miendelezo yako (consistency)

Ukiyajua hayo vizuri utakua kwenye nafasi nzuri ya kubashiri kwa usahihi kwa kiasi cha angalau kupatamo kafaida

Zijue ligi zenye wastani wa magoli mengi, zijue timu zenye safu kali ya washambuliaji na inayo bamiza magoli ikikutana na vibonde
Zijue timu zenye ukuta sugu na zijue zenye washambuliaji butu
Zijue historia za head to head za timu
Angalia uwezekano wa vikosi kabla ya game
Nk nk

All in all kuwa mkamalia mzuri lazma uujue vizuri mchezo unao bet na mazingira yake yote

Sorry hakuna jibu la moja kwa moja Vinginevyo ni kuotea tu
 
Og sana mkuu [emoji106]
 
Nataka nikufuate niweke 200k lakini roho ya umaskini inakataa
 
Option nyingine rahisi ya fainali ya leo ni game nzima itoe corner kuanzia 4.5 na kuendelea odds 1.89 ni hizi.

Vipi inawezekana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…