Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mbona inashika tu kama kawaida mzee. Kwa kutumia huduma ya roaming service sema mtu anataka kwenye kioo chake paandikwe safaricom
Nisaidie nijue hio roaming service maana niko Arusha ila tokea nipate Hii laini sijaweza pata network Kabisa
 
roaming..... hata uende india ama china utapata network ya safaricom, voda hata airtel.. miamala ya mpesa, tigomoney na mingineyo ya hivyo utaipata
 
Hivi game ya arsenal na Chelsea inaweza kutoa corner 4.5 kipindi cha kwanza?
 
Habari Wana Jamii
Nimepata laini ya safaricom
Naomba msaada na ya kudeposit kwenda safaricom
 
Mkuu nadhani nilipokuambia kua "watoto" wa Arsenal huwa hawana nidhamu ya mpira nadhani mpaka sasa utakua umenielewa vizuri!!Binafsi sikuona mchezaji serious wa kuwapa hawa Arsenal kombe, nani labda?
Iwobi anayepiga chenga zisizo na maana
Ozil cha uvivu

Kweli kocha wa hili kombe wako nae, ila je anawachezaji gani?Msimu mzima huu wao wana beki mbovu haijawahi tokea, Ebu tusubiri ila mi niliwaua Arsenal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…