Liver kaaminiwa hadi na Mhindi na Mrusi kwenye betting!Wadau fainal ya leo mmko na maoni gani
Naona mitaani wanaona live anakufa
Kitendo cha Spurs Kumtoa Dortmund,Ajax, Na Man city ni wazi kuwa wako siriaz na kombe, Sparz amevuka viunzi vigumu ukilinganisha na liver.
Kila la kheri supazi
Umeiva ila safest option ni over 2.5 goals.Liverpool hii ni fainali yake ya pili baada ya kutolewa na Madrid msimu uliopita, atakuwa na hasira sana pia amekosa PL kwa point chache, hvyo hii mechi kwake ni kufa na kupona, Option nzuri nayo iona mimi hapo ni Double chance kwa Liverpool au kumpa handicap ya +1
Umeiva ila safest option ni over 2.5 goals.
Angalia usije kuliwa Betting haitaki ushabikiNatoka na correct scores.
Spurs 2-1 LooserFools.
Over 1 goal,at least 1 card of each team and each team over 1 cona in each haf odds 6.2
Jamani naombeni muda wa mechi ya leo kati ya Liverpool na Tottenham
Duh we jamaa upo?!Wazee wa mikeka mpo salaam?