Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Usiache nafasi hii ikupite! SHINDA TIKETI YA KWENDA MISIRI kuishangilia TAIFA STARS kutoka M-BET!
Cheza mikeka 10 tofauti kwa siku na ujiwekee nafasi ya kushinda Tiketi iliyolipiwa kila kitu na M-BET!
Tembelea www.m-bet.co.tz au Piga *149*19#
 
Ushawaremove wameisha unatafuta mbuzi wengine uwapige
Nivema ukaongea jambo ambalo una uhakika nalo mm nipo kwenye hilo group na hakuna group niliwahi jiunga b4 ambalo wako na ushirikiano kama hilo ..akuna anae uziwa odds wala nini humo mtu ana chambua games ana post mkeka..na watu wanapiga ela ss ww unae mtolea bro apo izo kashfa unajua watu wangap wana soma text yako..??! Au unadhan kila group la WhatssApp nila wapigaji..acha izo watu mbadilike basi usiongee jambo kwa kufuata mkumbo au kuskia chunguza kwanza..mbona sisi tulo ktk group atuji kusema uku...angalia kauli zako.
 
Watu kama hao huwa hatuongei nao sana huwa tunabaki kimya then tunafanya yetu tu .

Mkuu sisi tuchape kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…