Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Netherland v Portugal
Portugal will have more than one corner in each half
Odds 3.3

Back for the final Laury
 
Kudeposit 1xbet naomba maelekezo anayefaham wadau
bila kutumia safaricom line, PM au hapahapa
 
Kudeposit 1xbet naomba maelekezo anayefaham wadau
bila kutumia safaricom line, PM au hapahapa
 
Jamani mbona Mimi Kila ninapocheza perfect 12 M-bet sipati gawio iwapo mara ya Kwanza nilipata mechi 9 ticket inaonesha Lost Mara ya pili nikapata mechi 10 vile vile ticket Lost Wana Nini na Mimi Hawa Mbet???
We nae huenda unajumlisha hadi ma reserves, pata tisa au kumi kwa mfuatano wa game ya 1-12
Achana na zile 5 za chini kule.
 
Na test mitambo na basketball
Nasikia inalipa inpla
 
Pole sana mkuu, najua kuna usalama mdogo sana unapomtumia pesa mtu usiyemjua. Kwa kulijua hilo, ndio maana nikaamua kuuza line kwa kutumia mfumo wa mkono kwa mkono. Mikoa ninayoisambazia line za Safaricom kwa mfumo ya mkono kwa mkono ni Arusha (Mianzini), Kilimanjaro (Moshi Mjini) na Dar es Salaam (Ubungo). Nje ya hapo, nafanya kukushauri umtafute ndugu au rafiki yako anayepatikana maeneo hayo, aje akununulie akutumie, na sio unitumie hela nikutumie Hapana.

WhatsApp yangu ni 0719957092. Mfumo wa kupata line ni huo huo hapo juu. Usitume pesa kwa mtu usiyemjua.

Mheshimiwa ambaye ni mhanga wamekutapeli, Niambie utanitafuta kwa namba gani WhatsApp ili nikuuzie kwa nusu bei, maana wewe ni mhanga tayari.

Angalizo: Kuna watu watakuja watasema wametapeliwa. Vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Pole sana mkuu
Hawa watu ndio wanafanya maisha yanakua magumu kwa vitu vyepesi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…