Mkuu hivi nikitaka ku-fake location natumia njia gani msaada tutani tafadhali!Mkuu cash out ni kuuza mkeka kabla game hazijaisha
Inategemea
Ukibofya hapo utapata kuona ni kiasi gani utapata kama ukiamua ku cash. Out
Kuna apps zinaitwa vpn mkuu ndio kazi yakeMkuu hivi nikitaka ku-fake location natumia njia gani msaada tutani tafadhali!
Mkuu ni betting, kuna kampuni moja ni ya uk sasa Inahitaji uwe unatoka UK tu that's why nataka nifake locationKuna apps zinaitwa vpn mkuu ndio kazi yake
Kama hutajàli kwanini unataka hivyo nikwa betting au maswala mengineyo
Zipo kibao play storeMkuu ni betting, kuna kampuni moja ni ya uk sasa Inahitaji uwe unatoka UK tu that's why nataka nifake location
vpn naipata wapi playstore au
Ok shukran mkuu, acha nijaribu tutapeana mrejesho! [emoji120][emoji120][emoji120]Zipo kibao play store
Niliwahi kutumia kitambo sana
Jaribu kutafuta free vpn, nyingi nzuri ni zakununua
Ila utapata za free zipo kibao tu, take your time soma reviws kabla ya kudownload
tumia Hola VpN n free na iko vzuri sanaOk shukran mkuu, acha nijaribu tutapeana mrejesho! [emoji120][emoji120][emoji120]
Noted mkuu [emoji120][emoji120]tumia Hola VpN n free na iko vzuri sana
Don't try this at home!Odds 5.3 zimeokolewa kwenye chaki dk 1 kabla refa hajamaliza mchezo.
Mpango mkakati kuelekea new season.
Natenga mtaji wa 20K ambao wote ntakuwa nauweka km Stake kwa odds 2.5
1st round
20K × 2.5odds= 50K
50k × 2.5odds= 125k
125k × 2.5odds=312.5k
312.5k × 2.5odds=781.2k
781.2k × 2.5odds=1.9+m
1.9+m × 2.5odds=4.8+m
Hapo kuanzia hiyo round ya 3 sijajua km Parimatch watakuwa wanakubali kiwango gani cha mwisho cha stake.
Cha kukumbuka kuwa hizo rounds zote haziendi consecutively kuna siku mechi zikijificha ndani ya kabati basi naacha but target ni kufikisha hizo round 6 kisha nifanye evaluation kisha nilete mrejesho km inawezekana au la.
Nikifanikiwa kuvuka hii hatua kwa namna yoyote nitahamia kampuni za kikubwa za huko duniani hasa hawa 888sports ambao tayari nimeshajiunga nao maana naamini huko hata ukitaka kuweka stake ya dola 20k unaweza.
Tuombeane heri tu wakuu.
Bet Responsibly.
View attachment 1127665View attachment 1127666
WIMICKY habari za siku mkuuSometime mrusi Kama boya kumbe ananitafutia timingView attachment 1127933