Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi hua wanaloga? [emoji848]
 
Hivi hua wanaloga? [emoji848]
Dah mkuu mi hata sina ushahidi aisee nimeropoka tu kunogesha comment.But all in all nadhani hakuna cha kuroga ni nature tu ya michezo tunayobashiri kuwa hakuna ajuaye exactly matokeo sahihi mpaka dk90 ziishe thats all i can say.
 
Dah mkuu mi hata sina ushahidi aisee nimeropoka tu kunogesha comment.But all in all nadhani hakuna cha kuroga ni nature tu ya michezo tunayobashiri kuwa hakuna ajuaye exactly matokeo sahihi mpaka dk90 ziishe thats all i can say.
Poa poa mkuu
 
wakuu game ya paraguay vs quatar nilibet kwa option ya ht/ft(1/2)

matokeo full time walitoka 2:2, ambapo 1st half walitoka 1:0, sec half wakatoka 1:2 na mchezo ukaisha kwa 2:2ft

cha ajabu nimepewa lost, je ni makosa yao ki ufundi au wamenidhurumu au matokeo yako sawa?

mwenye uelewa tafadhali anifafanulie. nimejaribu wapigia betpawa lakini hawapokei sim

ningeunganisha na scrnshot but kila nikipandisha picha inagoma.
 

Hapo kweli ni LOST kiongozi, tafsiri ya Half-time Full time kwa jinsi ulivyoweka ww ni kwamba FH timu ya nyumaban iongoze mfano: 1:0, ila mechi iishe kwa wa away kupata ushindi.. mfano: 1:2. Ht/ft haipimwi kwa kila half/ kipindi cha mchezo. Ni matokeo ya kipindi cha kwanza alafu unakuja kumalizia na matokeo ya mechi nzima. Kwa mfano mechi umechagua (ht/ft:1/1) yaan timu ya Nyumbani iongoze mwanzo mwisho then matokeo ya ht ikawa 1:0 na kipindi cha pili/2h hakuna goli lolote lilo patikana na mechi ikaisha kwa 1:0 hapo unakuwa ume WON sababu timu imeongoza mwanzo mwisho.
 
Hapo umeLOST kihalali kabisa. Katika option ngumu kumesa ni hii.
 
Sawa mkuu, na je ni kampuni gani nzuri kwa ubashiri zenye odds kubwa na zisizo na longo longo?
 
Naombe Msaada kidogo,eti hii option ina maana gani?



~Orgryte vs Gais (2nd)

(2nd) katika kubet?? Pliz naombeni kujua
 
Mkuu kwa matokeo hayo ni ht/ft= 1/X.
Kwa option yako ni kuwa home ashinde ht but away ashinde match itakapoisha
 
Second half mshindi ni Away team but nani mshindi wa game hiyo?..Mechi imeisha kwa draw ilitakiwa labda mechi iishe away team amzidi magoli home team.Mf. 2:3,2:4,2:5,2:6.......Hapo ndo mkeka utakuwa WON
sec half zilitokea goals 3 away akifunga 2 home akifunga moja, hapo nani mshindi seb half?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…