Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ukiweka yes unakua umekubali mabadiliko ya odds yaani kuongezeka ama kupungua kwa odds zinapo badilika
ukiweka No manaake ni kua odds zinapo badilika ww kweny ticket yako zita endelea kubaki ivo ivo
Mambo VP mkuu? Hivi wakati wa place bet hapo chini kwenye
Accept any odds changes?
Inatakiwa ibaki yes au no wakati wa place bet.?
 
Asante mkuu.
ukiweka yes unakua umekubali mabadiliko ya odds yaani kuongezeka ama kupungua kwa odds zinapo badilika
ukiweka No manaake ni kua odds zinapo badilika ww kweny ticket yako zita endelea kubaki ivo ivo
 
Zinabadilika pia ila utapewa taarifa. So utaamua uitoe match au uendelee nayo.
ukiweka yes unakua umekubali mabadiliko ya odds yaani kuongezeka ama kupungua kwa odds zinapo badilika
ukiweka No manaake ni kua odds zinapo badilika ww kweny ticket yako zita endelea kubaki ivo ivo
 
Habari wazee wenzangu.
Line za Safaricom sasa nimezipeleka mwanza, zipo 5 tu. Hivyo kwa wale waliokuwa wanadai wapo mwanza na wanahitaji line hizo mtaniona kwa WhatsApp number 0719957092. Usitume pesa kwa mtu usiyemjua. Nitakuekeza ukachukue ukiwa na pesa yako mkononi.

Narudia tena.
Usitume pesa kwa mtu usiyemjua.
 
Kwanza tuambiane ukweli, ukishaingia kwenye ulevi huu sharti uwe na roho ngumu.

Sasa tugawane umasikini... Njia nyingine ya kushinda beti uhakika 70% kwa wale tunaotumia kampuni zenye kubashiri matokeo ya kipindi cha kwanza kwenye football. Mimi huwa nacheza Under 2 magoli kwa first half. Lakini hii inahitaji utulivu wa akili kuchagua timu ambazo zinaweza kufanya usiwe na presha kubwa. Hii pia inahitaji stake yako iwe angalau Tsh 5000, unaweza tafuta Odd 1.80 au Odd 2 kwa timu 4 mpaka 5. Unaweza kujaribu hii, mimi nimeweza kuona faida yake ila wakati mwingine presha huwa inakuwa kubwa kwa timu ambayo inaruhusu bao 1 la mapema zaidi.
 
Ndio mimi naechat na wewe whatsapp
 
Kwa maana ya kuwa goli lisizidi moja? Likizidi stake inakuwa refunded?
 
Reactions: K M
Kwa maana ya kuwa goli lisizidi moja? Likizidi stake inakuwa refunded?
Hapo hakuna nafasi ya stake kuwa refunded. Utapata nafasi hiyo kama game ulizochagua zote ziwe zimehairishwa.

Under 2 ina maana goli zisizidi 2. Kama matokeo yakiwa 0-0, 1-1, 0-1 au 2-0 hapo inamaana umeshinda.

Presha ya mkeka wako kuwa kubwa ni pale timu moja inaporuhusu bao la mapema zaidi, inawezekana mpaka dk 45 za kwanza watu wakapigwa 3 mtungi na hapo mkeka wapo unakuwa umechanika ndio ilikuwa maana yangu mkuu.
 
kama hujui uwe unakaa kimya...unampotosha mwenzako
 
Wadau mnaotumia safari com kwenye kuweka hela 1xbet leo kuna tatizo gani kwenye deposit make ni muda sasa nimetuma hela lakini haijasoma kwenye account
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…