Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bado somo gumu Mkuu.
Multi goals haina tofauti sana na goal ranges..

Nitolee mfano wa mkeka wa mshkaji hapo juu aliocheza multigoals.

Home Team Multigoals 1-2
"Hii ni kuwa timu ya nyumbani ipate goli kuanzia moja mpaka mbili tu, kwa maana akipata goli 1 au goli mbili hiyo ni bet won, ila asipopata goli au akazidisha zaidi ya goli mbili hiyo ni bet lost"

Away Team Multigoals 1-2
"Hii ni kuwa timu ya ugenini ipate goli kuanzia moja mpaka mbili tu, kwa maana akipata goli 1 au goli mbili hiyo ni bet won, ila asipopata goli au akazidisha zaidi ya goli mbili hiyo ni bet lost"

Nadhani hapo somo litakuwa limeeleweka..
 
play single

asia cup (afc)

Minerva Punjab v Dhaka Abahani

both team to score (gg) odd 2+



extra
cs 1 - 1 odd 6+ ft X odd 3+
 
Hawa jamaa 1xbet nawatumia email hawanijibu sijui wafanyakazi wao wapo likizo au vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…