Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwa iyo niwe nabet alafu naangalia iyo link...
Sasa ntakuwa najuaje kama hapa ni ukomo au lah.
ndio kama unavyo bet mpira lazima uangalie livescore. Kule utaona wamekuwekea graphu kuanzia kwaita ya kwanza mpaka ya 4
 
Si mpaka uende Ofisini kwao
ndiyo hawa ni gal bet, kuna njia rahisi ya kuwithdraw bila hata kwenda kwenye maduka yao na hata leo nimewithdraw asubuhi.
Ili kuwithdraw unaenda sehemu ya kuwithdraw kwenye website yao haf wao watakutumia code kwenye email yako. Baada ya kupata code utapiga *148*53# then utachagua withdraw, utaweka acc id yako then unamaliza na kuweka code walizokutumia, Pesa uliyowithdraw moja kwa moja inaingia kwenye laini yako
 
asubuhi nilihangaika jinsi ya kutoa pesa gal bet maana nilianza kubetia hii kampuni jana. Nikienda sehemu ya kuwithdraw wananitumia code wananiambia niende kwa cashier wao, ila badae ndo nikaja nikaona sehemu walioelekeza kuwithdraw kwa ussd
 
Umeeleza vizuri!!
 
Ukishadraw unahitoaje????? Through nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…