Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ukishadraw unahitoaje????? Through nn?
mkuu unakwama wapi? piga *148*53# kwenye laini yoyote chagua withdraw, utaweka id yako ya gal bet then utakuja utaweka code walizokutumia kwa email, mpaka hapo unakuwa tayar umeshawithdraw kwahyo unaisubiri M Pesa ua kama ni airtel unaisubiri airtel money, yaani hata dakika haishi inakuwa tayar imefika
 
Thanks
 
Plz..... Kwa betting kampuni za Ndani.... Ipi iko poa Sana
 
pia na parimatch. nikimaanisha kampuni zinazo ruhu kuweka na kutoa kwa mitandao yetu ya simu
 
Kwa mtazamo wangu kampun ya kibongo nzuri ni gal sport tu zingine majanga plus matatizo mengi
 
Paymaster iko poa sana options kibao
Kinachotukwamisha ni tamaa ya kutaka million kwa jero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…