ndio kama unavyo bet mpira lazima uangalie livescore. Kule utaona wamekuwekea graphu kuanzia kwaita ya kwanza mpaka ya 4
Kwenye mpira si vipindi viwili tu na vinafahamika....
Sasa hii kikapu man.. Sometime unabet 1st Q.
Unataka sasa uone inaishia wapi ili ukadilie full gamr itakuwaje...
Maaana ni dk 12-10 kwa quarter moja... Ila unakuta game inachezwa hadi lisaa na nusu... Sasa quarter nne hizi za wapi...
Unaona kabisa dakika 15 zimefika alafu ushakula.. Ukirud unakuta qota yao wao bado... Ndio maaana nataka nione kwenye live betting kwamba now.
Ni 16-37
1st Q au 2nd...
Ili nijue napandanisha vipi... Kama ilivyo live betting footbal.. Unaoneshwa ipo dk ya ngapi game.... Na kipind gan!
Angalia kama hii picha...
Game imeanza 3:30... Alafu hadi iyo 05:00 haijaisha manina.
Yaani ni zaid ya lisaa limoja na nusu.
Nashndwa elewa... Alafu ukichek hapo unaona idad ya magori tu... Hauon dk ya ngapi wala quarter ya ngapi..
Najuaje sasa...