Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Poa mkuu nimekupata sawa bin sawia.
 
Mpk wedi kapu iishe mikeka itakua ishachanika sanaa,,bado draw ni sumu ya kubet asee
 
Najaribu zali wadau nabet kwa elf kumi japan,uruguay na colombia
 
Ngoja tuone england na japan,,,ivory cst nishatembea nao
 
Yaani jana ilikuwa nishamuungia Uruguay dollar 50 sema iplay hawakuingiza hela yangu hadi sasa imeniuma sana sema kama ningeweka basi game ya japan ingeniua maana walidraw.
Leo nampa Italy
 
Wadau leo hondouras na equador inakaaje au ndo kama japan na greec?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…