Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu naimani umenielewea ila tu unataka kuanzisha ligi bila sababu za msingi
Samahani mkuu kama nimekukwaza
Labda uwezo wangu wa uelewa ni mdogo nimeshindwa kukuelewa ulicho uliza
 
1xbet huwa inakuwepo baadhi ya games.
Hiyo -1 ndio imenichanganya mkuu

1x2 both teams to score maana yake uchangue ama home ashinde au away ashinde na pia draw
Lakini team zote zifungane
Mfano 2-1, 2-4, 1-1
 
Hiyo -1 ndio imenichanganya mkuu

1x2 both teams to score maana yake uchangue ama home ashinde au away ashinde na pia draw
Lakini team zote zifungane
Mfano 2-1, 2-4, 1-1
Nahisi hiyo moja huyo mdau ndo alikuwa ameichagua ili aweze kuulizia swali lake but option yenyewe inasimama km hivyo 1x2 and both teams to score.
 
Zipo brother ila usiambiwe na mtu itafute mwenyewe hiyo odds ya uhakika.
 
ILANI! usijiloge kuweka under kwenye basketball utajuta. ni bora uweke over hainaga presha kuliko under unaweza kufa kwa bp
 
ILANI! usijiloge kuweka under kwenye basketball utajuta. ni bora uweke over hainaga presha kuliko under unaweza kufa kwa bp
Mkuu inategemeana aisee yaani ligi ya kuiogopa kwenye hizo under ni NBA ila hawa wengine sometime kuweka over ni hatari zaidi kuliko under na over unakuta anakupeleka kwenye points za juu wakati odds zake kidogo ukifuata unapasuka mapema.
 
Niaje wakuu..

Hivi betpawa jackpot.
Ukibet ticket nyingi(double chance zikiwa 8 ndani ya team 17 vipi wanaruhusu ...

Maaana nataka nitandike mkeka mazee ni elf 25600 tu alafu dalili ya kiwapiga ipo tu
 
Nahitaji 25k 1xbet anaehitaji kubadirishana na m pesa anicheki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…