nimejaribu kuwasiliana na M-LIPA kwa njia ya simu nimemuuliza huyo muhudumu wao mbona mmetoa njia za malipo huku tz na pesa zetu mmetuibia,, akanijibu kuwa 1XBET waliambiwa na mkuu wa bodi ya michezo ya kubahatisha Tanzania walipe kodi serikali ili wapewe kibali cha kubetisha Tanzania alafu walipe tena kodi ya nyuma waliyokuwa hawajalipa,, 1xbet Tayari wamelipa hizo kodi zote tangu mwezi DESEMBER mwaka jana lakini mpaka leo huyo mkulugenzi wa bodi ya kubahatisha tanzania hajatoa kibali cha 1xbet kuendea kupiga kazi tz kwasababu yeye anafanya kazi na Sportpesa yeye ndio anashughulika na kutoa hundi ya pesa kama mtu akishinda jackpot pale sportpesa kwahiyo wamemjaza maneno mpaka basi ili asitoe kibali cha 1xbet kuweka payment method hapa tz kwasababu 1xbet ikirudi tz kampuni zote za kiquuma hapa tz mfano m-bet wateja watazikimbia na kuamia 1xbet
KWAHIYO WAZEE KUMBE HUYU MPUMBAFU NDIO ANATUKWAMISHA