Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jana sikutaka kabisa kubet
Na ningebet lazma ningempa Misri direct win
 
Daah Egypt mse.nge sana kaondoka na hela yote qumama..ke zake mbwa huyu!!
Jana wengi tumepigwa mzee. Nilikuwa natafuta odds 2 ila nichelewa kuweka mkeka nikakuta game ya Malmo FF odd zake zimeshuka, nikatulia nikaamua kumpa direct win Argentina, sijui tamaa ikatoka wapi nikawaongeza wa msiri kwa direct win hapo nikawa na odds 2 na kidogo, nikaweka 10000, nililala mapema. Saa 12 nimeamka kuangalia matokeo ******* wamefungwa.
 
Ndo mpira ulivo mkuu
 
Mimi kuna game nilicheza live in play game kumi na nne nikadharau nikaweka kastek uchwara matokeo yake zikatiki zote nikabaki najilaumu du
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…