Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1xbet sio ya kuogopa maana saiv wanasponsor, Barca,liverpool, Chelsea na laliga ila ukitaka kuifurahia verify sehemu zote wanazotaka ukiwapiga mpunga mrefu hawatakubali uitoe bila hzo verification na nahisi ipo siku uku Tanzania wataifungia kuna baadhi ya mataifa yameifungia 1xbet sasa hapo me ndo nashndwa kuelewa shida yake iko wapi mbn makampuni mengine kama bet360 ,william hill au paddypower ziko world wide na ni kubwa lakin hawana sekeseke la hilo la 1xbet
 
Jana napo kitimu nilichokiamini hakijafunga hata goli
 
Proffesor tuko pamoja. Los angles nilitaka niweke nako over 0.5.


Odd zikawa ndogo mno. Ikabidi niweke kama wewe 1-3 ndio katuchania.

Nimeshtuka saa 11 asubuhi dakk ya 30+ 1-1 niliweka 28000 ilikuwa nipige 56000 turbo nikakuta 53000 nikataka kuturbo nikaghairi nikasema ngoja nichungulie live score tena. Kumbe lilikuwa kosa😀.
Kurudi turbo wameiondoa ubao ukawa 2-1 daaaa😀😀😀

Nikajua hapa ishakula kwangu.


But still tuko pamoja naamini.
 
Pole..siku hazifanani...by the way tunatokaje Leo..najua unasukaga mikeka fulani hv amazing..
 
mi natumia 1x bet nimenunua line kenya na ndio ninayotumia kudeposit na kuwithdraw japo asa kudeposit hakuna ila natumia kwa njia ya bank alafu natoa kwenye safaricom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…