Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

#MAWINDONI
 

Attachments

  • sketch-1561383373711.jpeg
    36.5 KB · Views: 37
  • sketch-1549826037627.jpeg
    41.2 KB · Views: 33
Upo sawa mkuu...!!! Hii ilikuwa inanikutaga nimejifunza option mbali mbali now mambo sio mabaya, nimeanza na mtaji wa 30000 now faida ni 100000
 
Wanaotumia 1×bet em tuelekezeni jinsi ya kudeposit hela njia raisi tofaut na bitcoin
 
Njia nzuri ya kudepost na kuwithdraw ni Visa na MasterCard haina longolongo, mi ndo naitumiaView attachment 1165728
Mkuu kinacho washinda wengi kutumia Bitcoins ndio hicho kiko na huko Visa

Minimum withdraw
Bitcoin ni 100,000+
Visa nayo hivyohivyo

Wengi wanataka akila elf30 anatoa elf20 fasta

Bitcoin ni poa tu maana huendi popote zaidi ya kucheza na simu yako mwanzo mwisho
 
Watu inabidi wabadilike, kuwe na malengo ya muda mrefu, ukitumia kampuni kama 1xbet una uwanja mpana wakumpiga kanji tofauti na kampuni zetu za bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…