Wakuu tuwashawishi voda mastard yao waiboreshe iweze kutuma na kupokea pesa mtandaooni has a xbet naona watafanya biashara
Ungekuwa una cheza single na stake kubwa ungekuwa mbali sana jaribu iyo mbinu inakufaaTuone keshoView attachment 1165984
Mwenye uzoefu na crdb card kweny kudeposit 1 bet. Anipe uzoefu haisumbui?
HaisumbuiPrepaid card njia rahisi ya ku withdraw betting za nje ya nchi
Unajua haya mambo ya card mm cjayafatilia sana, mara master card mara visa card, etc Hii prepaid card inatakiwa iwe ya benki ganiPrepaid card njia rahisi ya ku withdraw betting za nje ya nchi
Crdb wanatumia debit card kwa hiyo ni lazima upate shida kwa sababu mfumo wake ni kwa ajili ya online shopping eBay,Amazon etc sio kwa ajili ya online transactions za deposit na withdrawal njia rahisi ni prepaid card tu zaidi ya hapo utahangaika tu na hizo method zingine mm mwenyewe prepaid card nimeijulia hapa hapa jamii forum lakini sasa ndo mkombozi wangu kwa hiyo sio mbaya kuwapa na taarifa na wengine
Njia mbadala ya kumnyoosha kanjiView attachment 1166118
Kampuni gani hii mzee baba
Unajua haya mambo ya card mm cjayafatilia sana, mara master card mara visa card, etc Hii prepaid card inatakiwa iwe ya benki gani
Haisumbui
Kwa hiyo mkuu hela unayoiweka kwenye prepaid card inakuwa ni ya Tsh ikifika huko inabadirika na kuwa USDPrepaid card njia rahisi ya ku withdraw betting za nje ya nchi
Ingia 1xbet deposit kwa bitcoinWadau naomba kama kuna mtu anayejua jinsi ya kudeposit kwa njia ya Bitcoin anielekeze maana tayari nishanunua Bitcoin ila kudeposit kwenda 1xbet ndo nashindwa..msaada please!