Debit Card hata online transaction unafanya mm naitumia crdb card na haina shida..Crdb wanatumia debit card kwa hiyo ni lazima upate shida kwa sababu mfumo wake ni kwa ajili ya online shopping eBay,Amazon etc sio kwa ajili ya online transactions za deposit na withdrawal njia rahisi ni prepaid card tu zaidi ya hapo utahangaika tu na hizo method zingine mm mwenyewe prepaid card nimeijulia hapa hapa jamii forum lakini sasa ndo mkombozi wangu kwa hiyo sio mbaya kuwapa na taarifa na wengine
Debit Card hata online transaction unafanya mm naitumia crdb card na haina shida..
Tofaut ya prepaid ni kuwa loaded tu na merchant wengi wanaaccept
Ila debit card haiwi loaded with money na unatumia connection kupitia bank ,etc ndo ufanye transaction haistand free kama prepaid card
But kama ni deposits na withdraw unafanya na
Deposit inachukua 1 to 5 min
Withdrew upto 15-30 min
Mkoan humu hakuna hiyo wala tawi lake..vp mchakato wa kuipata huku?Skrill unasubiri 3-7 days hela kuja kwenye akaunti yako ya bank wakati prepaid card nusu saa tu ume withdrawal hela yako na unakuwa umeipata
Banc ABC maeneo mengi haipatikani ndo changamotoIshu ni urahisi wa kupata card yako maana hata ww unafahamu hakuna bank tanzania inayotoa debit card instantly lazima usubiri almost wiki nzima lakini prepaid unapewa instantly na inakuwa tayari kwa matumizi
Ipi ita nifaa kwa uzoefu wako kati ya BancAbc ama UBA kwa ajili ya hii kazi yetu?
Nimejaribu imegoma inaandika 'Error in Form' sasa sijui tatizo ni nini!Ingia 1xbet deposit kwa bitcoin
Copy address kama ilivo
Nenda kwenye account yako yenye hela send bitcoin
Weka link uliyocopy then subr mpunga
EximIpi ita nifaa kwa uzoefu wako kati ya BancAbc ama UBA kwa ajili ya hii kazi yetu?
Banc ABC maeneo mengi haipatikani ndo changamoto
Ww watumia ipi mzee??Hizo prepaid 15k tu waipata.
Deposit ni sekunde tu.
Withdraw dakika kadhaa
Zina utofauti gani mzee kwenye upande wa option??Parimatch.com ya Ukraine sio ile parimatch.co.tz ya hapa kwetu
Zina utofauti gani mzee kwenye upande wa option??
Umekosea kutuma kiasi cha bitcoinNimejaribu imegoma inaandika 'Error in Form' sasa sijui tatizo ni nini!
Umenunua bitcoins wapiNimejaribu imegoma inaandika 'Error in Form' sasa sijui tatizo ni nini!
Mkuu kama haitojali naomba unipe no zako za WhattsApp tuwasiliane zaidiUmekosea kutuma kiasi cha bitcoin
Hakikisha unatuma kiwango sahihi kwa mfumo wa 0.00000btc ulizonazo usiingize pesaa
Hivi nbc hua hawakubali kufanya maswala ya bettingExim