*TIPS OF THE DAY*
PLAY PER TKT OR SINGLE
*TKT -1*
OREBRO GG (2.00)
DERRY CITY OV 2.5(1.90)
*TKT -2*
STRONGEST FT X
*3.00 ODDS*
*TKT -3*
LYNGBY GG (1.90)
CAEN HT X (2.00)
*TKT-4*
KONGSVINGER WIN(2.00)
NUMBERG OV 2.5(1.90)
*TKT -5* (MAXB)
HUDDERSFIELD GG
ASCOLI HT 1X
ASTAVA GG
*TKT -6*
BRANN WIN (2.00)
MURROM WIN (2.05)
*💡2+)+ Odds*💡
Orebro SK - IFK Goteborg
*1X*
Huddersfield Town - Derby County
*12*
Caen - Lorient
*X2*
💡💰💰💰
1xbetKampuni gani? Mbona mnanitisha?
Probality ya kupata nikubwa piaBado inachanika tu
Hahahahaha pole kakaOdd1,8 au 2 hazimaanishi kuwa unashinda. Mpaka sasa nadaiwa na mpawa na sijui ntalipaje.
Saiz game ya romania imetabiliwa kuisha 1-3 mi nimeweka over ya 0.5 game imeisha 0-0.
Jana kama nilivyosema molde nimemuwekea 1.5 hadi dk 78 ni 0-0 kukawa na uwezo wa kuturbo nikaturbo kwa hasara baadae dk ya 85 goli na 88 goli. Nimekosa pesa ndefu kwa kuhofia.
Betting kama uchawi hasa meridian nikiturbo ticket itawin nikisita nkaacha nalost.
Inawezekama kabsa mkuuMsimu uliopita nimezalisha milioni 3, msimu huu nimepanga kila mechi anayocheza Man city, liverpool, Barca na Juve dhidi ya timu ndogo ndogo nawapa Double chance naweka Milion moja, nina uhakika wa kuvuna zaidi ya milioni 10 mpaka msimu uishe.
Kuna siku nitaliwa ila nitakula zaidi ya kuliwa
Ulitumia prepaid card ya Exim?Ubaya ukipiga mshindo kuutoa ni utata. Wana M yangu wameshikilia mpaka Leo.