Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ike stake ya laki 2 ungekua uliiweka kwenye huo mkeka wa M ingekua balaa
Angefunga kampuni lake [emoji23][emoji23][emoji23], hyo ilikuwa ni freebet alafu nimetoa hela huko M yang kimya mpaka sasa et mpaka waichunguze account yangu waangalie kama nna account mbili manina hawa [emoji849][emoji849] sijui hela yang nitapewa?
 
Sasa kama unazo mbili wao inawahusu nini
 
Ndo wamekupa taarifa hizo muda si mrefu wataomba id national wangese kweli hao
Id National alafu sina ninakadi ya kupigia kura tu[emoji23][emoji23], nahc hela ndio imeenda kiivyo.
 
Ndo wamekupa taarifa hizo muda si mrefu wataomba id national wangese kweli hao
Huko kote mafala tu ndo mana nikatulia tu BETPAWA japo na madhaifu yao. PARIMATCH wazuri kweli ila kwenye kutoa asee... wanataka mpaka ID na picha asee! Nilishindwa haya mambo. Kuingiza ah-ah hamna masharti, ukishinda kutoa unapangiwa...!!
 
******* sasa yaani nikifanikiwa kutoa hii hela nawahama ***** zao, et mpaka wahakikishe sijui ID nawakat niliwapa cha mpiga kura sijui wanacho kitafuta ni nini.
 
Huu ni kutafuta dhuruma tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wajinga hawanipi hela yangu [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26] wanamashart ya kipuuzi kama nn.
 
Natafuta kampuni bora za nje za kubeti. Nataka nibadl kwa tz, zipi zina favour mtumiaji sana mana kila kukicha kunazuka lipya huku kwetu
 
Ya kuongezea pia kuhusu PARIMATCH ni kuwa wana TURBO PAY OUT ambayo kwanza kabisa utofauti wake na Turbo zingne ni kwamba Parimatch ukiturbo kiwango flani cha pesa bado unaendelea kuu sikilizia mkeka wako kwa mechi ziliobaki kiasi kwamba kama zote zikitiki, basi unalipwa tena mkwanja mwingine ambao ni almost sawa na kiasi ambacho ungeshinda awali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…