Hawa jamaa mi siwakubali jana nmeshind Milion moja kupitia bonus yao natoa hela kimya et mpaka wahakiki kama nina account mbili au moja.Ya kuongezea pia kuhusu PARIMATCH ni kuwa wana TURBO PAY OUT ambayo kwanza kabisa utofauti wake na Turbo zingne ni kwamba Parimatch ukiturbo kiwango flani cha pesa bado unaendelea kuu sikilizia mkeka wako kwa mechi ziliobaki kiasi kwamba kama zote zikitiki, basi unalipwa tena mkwanja mwingine ambao ni almost sawa na kiasi ambacho ungeshinda awali.
Kama huna account nyingine usiwe na hofu mkuu mimi wkt nafungua kwa mara ya kwanza nilifungua account 2 ili nifaidi zile bonasi zao dah nikasahau password ya account ile ya pili kuwapigia wakaniambia inaonesha una account mbili na ni kinyume na sheria zetu kimsingi tuna hold authority kukufungia account zako ila kwa kukusaidia tu inabidi tukufungie moja wapo ile ya awali basi nikasema poa kwa kuwa kwnz haikuwa na salio nikaona hmn noma.... sasa baada ya hapo ndo wakaniambia nitume hizo picha za National ID ili kuthibitisha kuwa ni mimi kweli mwenye ile account... nikawatumia.Hawa jamaa mi siwakubali jana nmeshind Milion moja kupitia bonus yao natoa hela kimya et mpaka wahakiki kama nina account mbili au moja.
Tatzo wanavisheria sheria vya kipuuz kwel, mi sina account mbili wala nn ngoja tuone ka milion yang watanipa.Kama huna account nyingine usiwe na hofu mkuu mimi wkt nafungua kwa mara ya kwanza nilifungua account 2 ili nifaidi zile bonasi zao dah nikasahau password ya account ile ya pili kuwapigia wakaniambia inaonesha una account mbili na ni kinyume na sheria zetu kimsingi tuna hold authority kukufungia account zako ila kwa kukusaidia tu inabidi tukufungie moja wapo ile ya awali basi nikasema poa kwa kuwa kwnz haikuwa na salio nikaona hmn noma.... sasa baada ya hapo ndo wakaniambia nitume hizo picha za National ID ili kuthibitisha kuwa ni mimi kweli mwenye ile account... nikawatumia.
Wakanipa bonasi 20k nikawakosa kosa kwa mechi moja kuchana mkeka wa 800k, sijui km ningewapiga wangenipa kweli huo mkwanja [emoji23] maana walishatanguliza vitisho vya kunifungia so wangeweza kupata sababu ya kufunga kabisa
Ila kwa wewe mkuu utapewa huo mkwanja wako bila shaka, wakizingua unawapekeka kwenye mamlaka husika.
Hii ilinipitaje tena niliona ile ya mwanzo tu dahNYUNDO NYUNDO TU.... Meli ileeeee.......!!!View attachment 1174117View attachment 1174118View attachment 1174119View attachment 1174120
Labda uwe na kama 12,000/= upige doule chance zote ndo kidooogo utafikia lengo.Wazee wenye maujanja na jackpot ya betpawa watuwekee hapa
Mzigo wa shilingi 100 unakutoa milionea
Ungetoa kidogo kidogo mkuuId National alafu sina ninakadi ya kupigia kura tu[emoji23][emoji23], nahc hela ndio imeenda kiivyo.
Kama huna account nyingine usiwe na hofu mkuu mimi wkt nafungua kwa mara ya kwanza nilifungua account 2 ili nifaidi zile bonasi zao dah nikasahau password ya account ile ya pili kuwapigia wakaniambia inaonesha una account mbili na ni kinyume na sheria zetu kimsingi tuna hold authority kukufungia account zako ila kwa kukusaidia tu inabidi tukufungie moja wapo ile ya awali basi nikasema poa kwa kuwa kwnz haikuwa na salio nikaona hmn noma.... sasa baada ya hapo ndo wakaniambia nitume hizo picha za National ID ili kuthibitisha kuwa ni mimi kweli mwenye ile account... nikawatumia.
Wakanipa bonasi 20k nikawakosa kosa kwa mechi moja kuchana mkeka wa 800k, sijui km ningewapiga wangenipa kweli huo mkwanja [emoji23] maana walishatanguliza vitisho vya kunifungia so wangeweza kupata sababu ya kufunga kabisa
Ila kwa wewe mkuu utapewa huo mkwanja wako bila shaka, wakizingua unawapekeka kwenye mamlaka husika.
Acheni kufananisha PARIMATCH na site zingine za ajabu ajabu...hakuna site bomba kwa sasa kama parimatch...kwanza mkwanja faster, makato 0%, mechi zakutosha, huduma masaa 24 kwa wenye matatizo, halafu wapo official wanaaccount hadi IG...
Wakati naanza kubeti nilianza na mbet, nikaja kuwakimbia kwa sababu ya kuwa na mechi chache na option chache na michezo michache, nikawatumia meridian lakini nilikuja kuwakimbia maana site yao inasumbua sana, Mkeka bet niliwatumia Ila na wao wenyewe nilikuja kuwakimbia kwa sababu ya makato, site inamuonekano mbaya, halafu wanachagua mechi za kuweka, nikaamia Premier betting mwanzoni walikuwa wananikosha maana walikuwa wanamichezo mingi, option za kutosha lakini pia makato hamna kabisa, nikaja kuwahama baada ya kubadilisha muonekano wa site yao lakini pia wakawa wanazingua hasa upande wa basketball walikuwa wanaminya option nyingi, na siku hizi na wenyewe wameanza kutoza kodi, nikawakimbia na wenyewe, 1x bet niliwatumia nikawapiga pesa Ila waligoma kunilipa baada ya kunizungusha saana nikatemana nao, playmaster site yao na wenyewe nilikuwa nawatumia kipindi Fulani Ila ili kuwa mpaka kwenye laptop, kwenye simu ilikuwa inazingua nikajakuachana nao...
Biko wakaja na site yao Ila sikuipenda na walikuwa na makato pia nikatemana nao, soka bet nao nikatemana nao hawakunikosha....Baadaye nikaja kumgundua BETPAWA Ila nilikuja kugundua kuwa kuna mechi haweki lakini pia odds zake zilikuwa ndogo ukicompare na site zingine , ingawa anajitahidi kulipa faster na sasa ameanza kukata 20% withholding tax so naanza kumkimbia mdogomdogo ila huwa ananifurahisha tu kwenye bonus zake ukitandika mechi za kutosha...
ILA MNYAMA NILIYEBAKI NAYE STABLE NI PARIMATCH SIFA ZAKE
1) SITE YAKE KWANZA IPO HIGH QUALITY
2) MICHEZO KAMA YOTEE VILE YA KUBETIA
3) MALIPO CHAP CHAP HATA SAA NANE USIKU
4) HAKUNA MAGUMASHI KABISA KWENYE HUDUMA PALE UNAPOPATA TATIZO, YAANI UKIPIGA TATIZO LAKO LINATATULIWA FASTER
5) HAKUNA MAKATO KABISAAAA
6) WANAOPTION ZA KUTOSHA NA WANAWEKA MECHI ZA KUTOSHA....
KAMA UPO KWENYE SITES ZA MAKATO HAMA FASTER NJOO PARIMATCH
Hii unayolia namna hii?Parimatch
Ningepata ata source ya hii habari ningeenda kukopa mahali mtaji nijikoki kwa epl but sijui wewe ndugu yangu umeinyaka wapi hii hot newzMorning All,Tuna Leo Na Kesho Ili Tuanze Kufurahia Options za Kibabe za 1xbet. Kuweni wapole Wacheza kamari!!!! Hao sijui Betpawa,Mkekabet,Meridianbet,Parimatch wataomba Poo mwaka huu maana wamefanya mbinu zote ili Isifanikiwe Lakn wameshindwa. 1xbet Itabaki kuwa Juuu daima....Naanza na options za kibabe kwa Liverpool Ijumaa!
Mkuu unaujasiri unavozungumzia ujio wa 1xbet...lazima utakuwa ukaribu na wahusika hapa bongo.Morning All,Tuna Leo Na Kesho Ili Tuanze Kufurahia Options za Kibabe za 1xbet. Kuweni wapole Wacheza kamari!!!! Hao sijui Betpawa,Mkekabet,Meridianbet,Parimatch wataomba Poo mwaka huu maana wamefanya mbinu zote ili Isifanikiwe Lakn wameshindwa. 1xbet Itabaki kuwa Juuu daima....Naanza na options za kibabe kwa Liverpool Ijumaa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Hii unayolia namna hii?
Hiyo kadi ya mpiga kura haina ishu kabisa. Kuna kipindi nilipiga parefu kampuni ya MELBET ndugu take na 1xbet, hela ikawa haifiki bank, baada ya ya kuwasiliana nao wakasema niwatajie national ID number, mi nikawatajia cha kura, wakawa hawaoni taarifa zangu kabisa kupitia hiyo ID. Ikabidi ntafute cha NIDA ndio kesi ikaisha.Id National alafu sina ninakadi ya kupigia kura tu[emoji23][emoji23], nahc hela ndio imeenda kiivyo.
Angefunga kampuni lake [emoji23][emoji23][emoji23], hyo ilikuwa ni freebet alafu nimetoa hela huko M yang kimya mpaka sasa et mpaka waichunguze account yangu waangalie kama nna account mbili manina hawa [emoji849][emoji849] sijui hela yang nitapewa?
[emoji23][emoji23][emoji23] mi mwenyewe wakinipa changu napoteaBasi mi naachana nao maana nina acc ya tigo na mpesa.
Ngoja nitoe kihela changu maana wanaweza katalia hela
Vipi mpaka sasa hawajashusha mzigo wapumbavu hawa kwan account mbili kitu gani wakat account iliyoshinda ni mojaAngefunga kampuni lake [emoji23][emoji23][emoji23], hyo ilikuwa ni freebet alafu nimetoa hela huko M yang kimya mpaka sasa et mpaka waichunguze account yangu waangalie kama nna account mbili manina hawa [emoji849][emoji849] sijui hela yang nitapewa?
Mi sina account mbili mkuu lakini kimya milion yangu [emoji23][emoji23] hiyo inaenda.Vipi mpaka sasa hawajashusha mzigo wapumbavu hawa kwan account mbili kitu gani wakat account iliyoshinda ni moja
Mbona mnanitisha? [emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo kadi ya mpiga kura haina ishu kabisa. Kuna kipindi nilipiga parefu kampuni ya MELBET ndugu take na 1xbet, hela ikawa haifiki bank, baada ya ya kuwasiliana nao wakasema niwatajie national ID number, mi nikawatajia cha kura, wakawa hawaoni taarifa zangu kabisa kupitia hiyo ID. Ikabidi ntafute cha NIDA ndio kesi ikaisha.
Tafuta cha nida ndani ya siku mbili unapata nambaMbona mnanitisha? [emoji23][emoji23][emoji23]