Duuuh! Parimatch wana mambo ya ajabu sana. Mkuu wakazie, usikubali kudhurumiwa...wapigie sana tu...chati nao Whatsapp pia.Angefunga kampuni lake [emoji23][emoji23][emoji23], hyo ilikuwa ni freebet alafu nimetoa hela huko M yang kimya mpaka sasa et mpaka waichunguze account yangu waangalie kama nna account mbili manina hawa [emoji849][emoji849] sijui hela yang nitapewa?
Nikweli mkuuWatishie kuwashitaki kwenye mamlaka husika kama itapita saa24 kuanzia sasa. Na wakionesha viburi chukua screenshot ya mazungumzo yenu, mkeka ulioshinda njoo navyo hapa upewe muongozo wa kuvi email kwenye gambling board ya Tanzania. Na hatua nyingine zifuate. Huwez kuavha milioni ipotee hivihivi
Waceeng sana hao...ukitoa hela kubwa utajuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]...Wana masharti balaa...utaaambiwa upige picha kitambulisho.Ndo wamekupa taarifa hizo muda si mrefu wataomba id national wangese kweli hao
Acha kukata tamaa za kitoto. Hata kitambulisho cha kura kinatumika...kuna kuchagua kitambulisho gani uwatumie.Id National alafu sina ninakadi ya kupigia kura tu[emoji23][emoji23], nahc hela ndio imeenda kiivyo.
Sasa mimi nimeshawatumia kabisa na kitambulisho cha taifa na kujaza hilo form lao lipo pale kwe security, ingawa sijawah kushinda maana account yenyewe nimefungua leo suku ya tatu, sasa nikishinda cjui watasema nitume nini tenaWaceeng sana hao...ukitoa hela kubwa utajuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]...Wana masharti balaa...utaaambiwa upige picha kitambulisho.
Hiyo bonus wanaitoaje? Mimi hawajawahi kunipa[emoji134]Hawa jamaa mi siwakubali jana nmeshind Milion moja kupitia bonus yao natoa hela kimya et mpaka wahakiki kama nina account mbili au moja.
Kunamtu kaniambia niwatishie nmewatisha nawashtaki wameingiza mpunga [emoji23][emoji23][emoji23]Waceeng sana hao...ukitoa hela kubwa utajuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]...Wana masharti balaa...utaaambiwa upige picha kitambulisho.
Itakuwa vizuri sana.Morning All,Tuna Leo Na Kesho Ili Tuanze Kufurahia Options za Kibabe za 1xbet. Kuweni wapole Wacheza kamari!!!! Hao sijui Betpawa,Mkekabet,Meridianbet,Parimatch wataomba Poo mwaka huu maana wamefanya mbinu zote ili Isifanikiwe Lakn wameshindwa. 1xbet Itabaki kuwa Juuu daima....Naanza na options za kibabe kwa Liverpool Ijumaa!
Wanadai walio jiunga kuanzia mwez wa pili ndio unaitumia na odd ni kuanzia 1.9Hiyo bonus wanaitoaje? Mimi hawajawahi kunipa[emoji134]
Ukishinda, ukataka kutoa hela kuanzia Elfu 20...Watakwambia uwatumie tena kitambulisho kwenye namba yao ya Whatsapp...wacceeng sana hao jamaa.Sasa mimi nimeshawatumia kabisa na kitambulisho cha taifa na kujaza hilo form lao lipo pale kwe security, ingawa sijawah kushinda maana account yenyewe nimefungua leo suku ya tatu, sasa nikishinda cjui watasema nitume nini tena
Safi sana mzee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kunamtu kaniambia niwatishie nmewatisha nawashtaki wameingiza mpunga [emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu tuma 20000 mpesa sasa tusherehekee wote 😀Kunamtu kaniambia niwatishie nmewatisha nawashtaki wameingiza mpunga [emoji23][emoji23][emoji23]
Nabaki kushangaa sijui nini kinawasibu kwenye hili...Princess bet wako powa, bado sijaona longo longo kwenye kutoa hela.
Kampuni inayonishangaza ni Meridian...ni Kampuni nzuri sana, lakini wameshindwa hadi leo kurekebisha mtandao wao. Wamebaki kuongeza Option kila siku. Wana Option ambazo unaweza kuwavumilia hivyo hivyo ukataabika kupambana na Server yao mbaya. Unatumia Hata masaa mawili kuandaa mkeka wa timu 5[emoji134][emoji23][emoji23][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee hizi kampuni zetu za kibongo zinatukomesha..Basi mi naachana nao maana nina acc ya tigo na mpesa.
Ngoja nitoe kihela changu maana wanaweza katalia hela