Nashauri cheza over 1.5 ... leo inaonekana zipo nyingi sana.
Sikushauri uweke zote. Kuna mechi za kuepuka hapo kuweka 'overs'.EUFA Champions League - Qualification ... wote over 1.5 leo
Total odds:
--------------
Betpawa - 11.59
Parimatch - 11.77
View attachment 1180179
Nashauri cheza over 1.5 ... leo inaonekana zipo nyingi sana.
Sikushauri uweke zote. Kuna mechi za kuepuka hapo kuweka 'overs'.
Pia waweza jaribu 2+ kwa England National league North na SouthEUFA Champions League - Qualification ... wote over 1.5 leo
Total odds:
--------------
Betpawa - 11.59
Parimatch - 11.77
View attachment 1180179
Hatimae nimefanikisha ku_withdraw hela yangu tokea jumamosi baada ya pulukushani kadhaa na customer care,ahsanteni wote mlioniongezea points,mbarikiwe sana..Wadau mwenye namba za customer care Premier Bet tafadhari,au pia kama umewahi ku_withdraw ukaambiwa blocked user ulifanyaje ukaipata pesa yako uliyoshinda kwenye akaunti? Natanguliza shukrani za dhati...
Kazi kwenu, Pia usisahau kuunda clusters za odd mbili mbili. Tukutane baadaye.View attachment 1180288View attachment 1180289
Aisee kumbe Betpawa wanapunja eeh.Hizi timu nimeweka km zilivyo Parimatch total odds zinakuja 17.68 ... duuuh, so big difference !!!
Achana na win, zitapata goli 2+Hao celtic,ajax ni win au
Hivi wakuu parimatch imekuwaje jana nilibet mech ya Dc united v LA galaxy kona over 4.5 1st half zikatoka kona tano nimewin ila wanasema mkeka umechanika na nilibet single.. nimewasiliana nao kwa njia ya email txt ya kwanza wamekubali kwamba kona zmetoka over 4.5 nikiwauliza vp kuhusu payment yangu wamebadilisha maneno wanasema zimetoka under alaf kona zenyewe lA galaxy ndo kazipiga mwenyewe cha kushangaza sehemu ya bet history kwang hairespond ushenz gani wameanza kuufanya
Mkuu babapecha nilikuuliza unadeposit kupitia njia gani?
Kama ni prepaid kadi ni ya benki gani? Na inachukua muda gani kudeposit na kuwithdrawal?
ngei ya whatsapp
sina dakika za tigo
mkuu hivi promocode inasaidia nnUkipata dakika nicheki
yaan utafikiri hakuna magoli uwanjaniHawa wachina siwaelewi kabisa dadeki
ajax km cwaelewi iviCeltic, Ajax, Copenhagen home2+