SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,451
Maana yake hiyo game imetoka hapo kwenye mkeka maana ameweka BATE ashinde, akidraw hamna bet.Umeielewa option aliyoweka lakini? = "Draw No Bet"
Mtulie muelewe. Huo mkeka hauwi tena the same ukiondoa hiyo option ya BATE coz BATE hajashinda so NO BET.Aliweka Draw no bet sio win kaka, so umetiki still
Direct win hapo una possibility ndogo Ku win ticket yako.Nisaidieni hapa wazeee kabla sijaliwa kichwa
WOOOOOON TUKUTANE KWA WAKALA.InPlay
Mechi ya Partizan
Over 0.5HT
Asante niliifataWOOOOOON TUKUTANE KWA WAKALA.
Mzee baba unajaribu kutuaminisha kwamba ule mkeka ume lost sababu Bate alipewa DNB na hajashinda?Mtulie muelewe. Huo mkeka hauwi tena the same ukiondoa hiyo option ya BATE coz BATE hajashinda so NO BET.
HongeraAsante niliifata
Huu utatoa halaf utajilaumuMfano leo mechi ya bala town over 2.5 ya galatasaray over 1.5, mussapori 1.5 itakuwa odds 2
Hapana. Ila mechi hiyo haitakuwapo maana imetoa draw hvyo si BOOM kama lililowekwa pichani kwa zile odds!Mzee baba unajaribu kutuaminisha kwamba ule mkeka ume lost sababu Bate alipewa DNB na hajashinda?
Mkeka unakuwa won kama hizo zingine zimeshinda.. Hiyo iliyopewa DNB inakuwa refunded kama ametoa draw.. Akishinda unalipwa kulingana na odds ilizopewa.. Akipigwa umeliwa..Hapana. Ila mechi hiyo haitakuwapo maana imetoa draw hvyo si BOOM kama lililowekwa pichani kwa zile odds!
Under 0.5 maana yake matokeo ya mwisho yasivuke 0 so hapa ni draw ya 0:0 ndo bet inakuwa wonVp kuhusu under 0.5
Mkeka wenye odds 2, kama kuna match uliweka DNB na ikaishia draw, still odds zinabaki 2??Mkeka unakuwa won kama hizo zingine zimeshinda.. Hiyo iliyopewa DNB inakuwa refunded kama ametoa draw.. Akishinda unalipwa kulingana na odds ilizopewa.. Akipigwa umeliwa..