thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,454
- 1,436
Yah!! Ndo sheria ya betting kama kuna red card inahesabika kama njano mbili haijalishi amepewa straight au laNilibeti under 8.5 cards...game ikatoa kadi nane ikiwemo red moja.
Parimatch wananiambia red card moja husimama kwa njano mbili hivyo bet lost. Alyepewa red alipigwa straight red. Hii imekaaje wadau?
3-2Man city kachomoa betry daah
2 -2 mkuu
Napokea ushauri wako Mkuu.Usiende upande huo brother! Don't change the winning team. Don't do it.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Write your reply...
VAR inanilaza na viatu
Noted mkuuKama kuna timu ambayo ni reliable kwa sasa basi ni hawa waSlovakia Slovan Brastislava na Zilina.
Haya ni majembeee. Come rain, come Sun
Sijui kama ipo, kama ni mechi kubwa uwaga mi ninafanya hivi ninatumia livescore then kwenye hiyo mechi unaenda kwenye commentary, uwaga wanaandika yale matukio muhimu so unaweza kuhesabia hapoWakuu hivi app gani naweza kucheki throw in ....msaada wakubwa
Flashscore mechi huwa wanaonesha kweny upand wa stats!!Wakuu hivi app gani naweza kucheki throw in ....msaada wakubwa