Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

INPLAY

Fiorentina vs Monza 2HF W1 odds 1.55

Weka mshahara wote
 
Hizi ligi kubwa kila weekend kuna mech kubwa zinakuwa fixed kutoka katika ligi husika, Kuitambua ni kazi sana. Mechi huru ni zile za madaraja ya chini huko kuna pesa.

Alkmaar, Zenit, Midtyland, Celtic, Bayern, Barcelona Cobenhagen, Galatasaray wiki hii na hata atletico na psg kuna shaka usiku baadaye.

Weekend ijayo likely zitashinda.

Weekend ijayo kuweni makini na Liverpool, Realmadrid, Borrusia dortmund, Ajax.
 
kwann ziwe fixed
 
Tujikite tu kwenye magoli angalau kuna unafuu kwa mbalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…