Mkuu hii biashara ni hatari unajikuta tu nafsi inakusukuma kuweka mzigo wote bila hata kuwa na wasiwasi.Ungebet 20% ya mtaji wa laki 3 usingeweka yote
Mkuu trust me bookies hawapangi kabisa matokeo iwe kwa kuhonga refa au VAR or whateverHapa dunian kunawatu wanapesa mbaya na kilasiku wanapiga akili wataipataje hyo sh hamna ya maskin ili aendelee kuwa maskin
Betting haipati faida kwenye under au over Bali n win au lose.
Kingine zile time ambazo huwa 3+ n given utashangaa sikuunacheza anayoa under au siku timu huwa haipotez homegroup lakin siku umecheza anapigwa na kibonde ambae hajawai shinda hata game 13 ukiangalia quality y wachezaji, ground, mashabiki head head vyote vinaibeba hometeam lakin hyo siku unashangaa maajabu hapo ndo ujue kuwa watu wanambinu, mipango, akili, na kauchawi saa zingine.
Ukitaka unufaike na betting fungua au kuwa partner na betting company hapo utapata pesa vinginevyo n maumivu tuu.
Ndomana wanakwambia usichezee pesa ya mboga, Ada, matibabu au ujenzi wakijua huwez kuirudisha wataichukua tuu na utachanganyikiwa mazima.
Kule 1xbet kulikuwa na 100% deposit bonus unaweka million wanakupa million jiulize deposit na withdraw wap kumezidiwa?
Hahaaa unapata mizuka[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hii biashara ni hatari unajikuta tu nafsi inakusukuma kuweka mzigo wote bila hata kuwa na wasiwasi.
Umeongea point mkuu, jamaa anamaanisha timu kubwa yeyote ikifungwa basi Kampuni za betting zimehonga. Siku zikishinda hazijaonga.Mkuu trust me bookies hawapangi kabisa matokeo iwe kwa kuhonga refa au VAR or whatever
Ukweli ni kwamba odds zipo against na mkamalia na zinam favour bookies
Ukitaka kujua betting ni ngumu sababu odds zipo against na wewe, usicheze magoli wala direct win wala option unaona rahisi kupanga matokeo
We cheza kona, throw in, ball possession, off side, booking, faul, free kick,mlingoti, 10m result,first to happen, own goal, header goal,player to score nk nk
Market zipo xaidi ya 100 ambazo hazihusu magoli ya o/u au 1x2, jaribu uone moto wake
Kimahesababu ni vigumu sana kumshimda bookies....... the house always win, that is the fact
Ujanja ni kutafuta namna ya kucheza na odd na sio kulia lia eti bookie wamenunua mechi
Hivi unadhani mchezo mchezo kuzinunua timu kubwa zifungwe kizembe zembe watu wameinvest mabilion yya dola kubeba ubingwa eti leo wapoteze ili walipwe na bookies
Wiki hii timu zote kubwa duniani zimecheza na nyingi zimeshinda kuliko zilizoshindwa, tatizo ni kwamba ukisha weka hela yako man city ashinde na asiposhinda utaona ni miujiza ya ajabu kabisa na haiwezekani kutokea na utaanza kitafuta sababu kuhalalisha kushindwa kwako
Nachezaga own goal naweka timu 10 mwisho wasiku odd kiduchu na own goal inachana mkeka
eti bookie wamenunua mechi
Hivi unadhani mchezo mchezo kuzinunua timu kubwa zifungwe kizembe zembe watu wameinvest mabilion yya dola kubeba ubingwa eti leo wapoteze ili walipwe na bookies
Kwahiyo hizo timu zingine unataka zisishinde?Hao hawaongi timu wanahonga mtu anaeamua matokeo ambae haonekan kwa mashabiki huyo mtu anaekuwa manVAR huyu wazee wa mipango wanamfata wanamseti.
Pia sikuhizi timu zinanunuliwa Kama kawaida nenda Russia, China, Japan, Czech,Greece, italy, German, France league 2, English leagues 1,2,3,4,5,6, Spain laliga 2,3,4, nazingine nyingi huko
Hawa jamaa wanadatabase ya kila metchi option gan imechezwa Sana kuliko kabla ya mechi jiulize uturuki timu zote kubwa zimepigwa Galata, bekistas, na huyu wa Jana instabul baking bado leo fenebache
Kwahiyo hizo timu zingine unataka zisishinde?
Na hapa ndipo wengi tunapoliwa, Tamaa inatuzidi nguvu. Mtu katoka 5k mpaka 300k halafu ghafla anabet mpunga wote.Mkuu hii biashara ni hatari unajikuta tu nafsi inakusukuma kuweka mzigo wote bila hata kuwa na wasiwasi.
Market zote hizo zipo na watu wanazitumia, kilichopo ni uwiano wa makundi ya watu katika kuchagua option. Obvious Final results na Over under goals ndizo zinazotumiwa na wengi kwenye mechi za big teams against ndogo. Na hizi ndizo probably makampuni yanafanya mambo yao.Tatizo watu wanaforce vile walivobet wao ndiyo matokeo yaje hayo hayo, kumbe kuna sisi tumebet against wewe na tunataka matokeo yake kinyume.
MFANO:
"B" amebet leo WOLVES ashinde kwa Man Utd
"C" kabet MAN UTD ashinde kwa Wolves
"D" kabet Yapatikane magoli 2
"E" kabet sare
"F" kabet wafungane
"G" kabet chini ya magoli 3
"H" kabet Wolves asifunge goli
"I" kabet kadi za njano zitakua 3
"J" kabet kutakua na kona 9
Nakuendeleaa
Sasa mmoja akikosa hapo, wengine wanapata.
Ahahaahah usitake upate wewe tu, unapo lia lia huku JF kuna watu wanachekelea kwa matokeo yaliyokuumiza wewe.
Kwahiyo we pambana tu, sio kutupa lawama.
Nadhani ulichokiandika hujakisoma vizuriMmeanza Sasa watoto wa jamii forum
Umeelewa ninachozungumzia
Na sijasema city au Chelsea walinunuliwa naomba muelewe ninachosema Kama huelewi endelea kuweka hela ukishinda nitag.
Sasa kama ushajua hilo, unahangaika na nini tenaMarket zote hizo zipo na watu wanazitumia, kilichopo ni uwiano wa makundi ya watu katika kuchagua option. Obvious Final results na Over under goals ndizo zinazotumiwa na wengi kwenye mechi za big teams against ndogo. Na hizi ndizo probably makampuni yanafanya mambo yao.
Believe it or not upangaji wa matokeo upo tena sana na ndiyo maana wachezaji marefa makocha wanapigwa pini/hawaruhusiwi kushiriki hii michezo.
Unavyo maanisha ni kama vile VAR ndio kila kitu mkuuHao hawaongi timu wanahonga mtu anaeamua matokeo ambae haonekan kwa mashabiki huyo mtu anaekuwa manVAR huyu wazee wa mipango wanamfata wanamseti.
Pia sikuhizi timu zinanunuliwa Kama kawaida nenda Russia, China, Japan, Czech,Greece, italy, German, France league 2, English leagues 1,2,3,4,5,6, Spain laliga 2,3,4, nazingine nyingi huko
Hawa jamaa wanadatabase ya kila metchi option gan imechezwa Sana kuliko kabla ya mechi jiulize uturuki timu zote kubwa zimepigwa Galata, bekistas, na huyu wa Jana instabul baking bado leo fenebache