Nimetumia parimatch kwa mara ya kwanza, nimepiga pesa ila hawaitoi mpk sasa. Naona na ww unatumia parimatch je unamawasiliano yao ya simu. Email hawajibuWachawi hawaishi haki ya nani sasa kwa mwenxo huu km ukisema upige ban utamaliza timu zote haki ya nani.
Pyunik!Pyunik ww ni mbweha.View attachment 1185863View attachment 1185864View attachment 1185865
Unatoa kiasi gani?Nimetumia parimatch kwa mara ya kwanza, nimepiga pesa ila hawaitoi mpk sasa. Naona na ww unatumia parimatch je unamawasiliano yao ya simu. Email hawajibu
C&P SteveMollelAPOEL vs AJAX.
Total goals 2+
Point 1.61
Stake: 1,000,000
Hahahaaa kabisa mkuuAkimaliza kupima presha ajikane nafsi yake.
Mkuu hahahaaa muonee huruma katia million asee usiukopi
Hapana kwa sasa sikopi kweli. Nimeona nina gundu sana.Mkuu hahahaaa muonee huruma katia million asee usiukopi
Natuma wapi hicho kitambulisho? kwenye usajili nimeupload driving licence na usajili ulikamilika.Unatoa kiasi gani?
Kamilisha usajili kwa kuwatumia kitambulisho chako na utapewa pesa yako. Hawa watu ni waaminifu sana.
Kama ni zaidi ya 20000 lazima uwatumie kitambulisho na ukishatuma mara moja inakuwa solved moja kwa moja.
hii lazima itoe hata 3+APOEL vs AJAX.
Total goals 2+
Point 1.61
Stake: 1,000,000
0800787878 piga hiyo namba watakuhudumia kama mfalme.Natuma wapi hicho kitambulisho? kwenye usajili nimeupload driving licence na usajili ulikamilika.
Pesa 45000tsh, imekatwa tayari kutoka kwenye account ila mpesa haijafika.
tehetehtehteKwamba ukiokopi tu, hola! [emoji23] [emoji23]
Namba ya kutuma kitambulisho WhatsappNimetumia parimatch kwa mara ya kwanza, nimepiga pesa ila hawaitoi mpk sasa. Naona na ww unatumia parimatch je unamawasiliano yao ya simu. Email hawajibu
Hahahaaa mkuu nimecheka balaaHapana kwa sasa sikopi kweli. Nimeona nina gundu sana.
Ha ha ha Na akiliwa aandae visingizio vya kujifariji, sasa hivi aseme ni mwanzo wa msimu wachezaji hawajachangamka nasubiri ligi ifike katikati, msimu ukifika katikati aseme timu zinaviziana ngoja nisubiri mwishoni mwa ligi ndio timu zinapasuana, msimu ukifika mwishoni aseme bora nisubiri tu msimu ujao sasa hivi timu hazieleweki au timu zinauza mechiAkimaliza kupima presha ajikane nafsi yake.