Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau vipi mi ni mgeni kabisa na haya mambo ya kubet,nimeokota 25 hapa sasa mi mi sio mlevi,nimetafuta wa kumuonga hakuna nikasema ngoja nibeti leo vipi nilipie huu mkeka??
 
Kwani ukiweka stake kubwa hailiwi?hivi unaliwa kwasababu ya stake ndogo au kwasababu umekosea kubashiri?Mimi nafikiri kuweka stake kubwa kunakufanya upate profit kubwa pale utakapo shinda.na utakapoliwa ni kinyume chake.kwahiyo tofauti ni ukubwa wa profits/loss tu.so vinginevyo
 

Skrill huwa inazingua wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…