Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Km nlivyoahidi,future Ferguson[emoji3]..
Kwenye 'i think ndo conclusion' ya ipi navyoona matokeo yatakavyokua, kwneye 'LL' na 'App' ni matokeo ya best sites nazotoa takwimu.
Kazi kwenu n good evening[emoji112][emoji112]
 
Wabongo kwa kuongea tuu hawajambo hawajui kila kitu kinahitaji kumwaga fedha utaskia arsenal wabahili hawataki kutoa fedha wasajili big players wakati yeye anabet jero Ili apige milion Sasa we ndugu unatofaut gan na arsenal unayoilamu weka mzigo siunamuona man city

Kila kitu n pesa nzito tuu mzee unatusua
 
[emoji23][emoji23]
 
Hii ndo raha ya basketball game 3 odds 6+...halafu unaweka mzigo kama hivyo...money loading
 
Usiku wa kuamkia Leo ulikuwa mzuri kweli kweli., [emoji389][emoji389][emoji389][emoji389]
 
Hivi mnaotumia PLAY MASTER ukiwithdraw pesa inachukua muda gani? Maana ninazaidi ya nusu saa pesa nimewithdraw halafu sijaipata
 
Huwa ni faster sema nahisi mtandao utakuwa na shida hv mm mwenywe nimetoa nasubir.
Hivi mnaotumia PLAY MASTER ukiwithdraw pesa inachukua muda gani? Maana ninazaidi ya nusu saa pesa nimewithdraw halafu sijaipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…