Isack bruno
Senior Member
- Dec 12, 2016
- 192
- 207
Juve hapo[emoji849]Hivi nyinyi wazee wa kubeti mnashindwa nini kutembea hivi??
√Man united win
√Chelsea DC
√Township rollers DC
√Juventus win
√Madrid win
√Liverpool vs Arsenal over 1.5
Am just kidding..on paper unaona kabisa huu mzigo unatoa..sasa weka mzigo uone
Hebu tuache majungu, Fast bet huwa inaonyesha ushindi???[emoji848]Fast bet iyo hajalipia
Watanzania tuna tabia za ajabu sana. Yaani watu wana wivu hata kwenye mambo ambayo hayatakiwi kuonewa wivu.Hebu tuache majungu, Fast bet huwa inaonyesha ushindi???[emoji848]
kaka naomba betpawa link
kaka naomba betpawa link
Ukopi then lipia hata shilingi 1Chief nimekumbuka kucopy link wakati nimeshaplace bet. Kuna jinsi ya kupata link kwa betslip ambayo imeshalipiwa? nielekeze km unafahamu nikutumie.
Ukopi then lipia hata shilingi 1
Haaminiki huyo mkuu alafu yuko awayHivi huyu Chelsea kwann amepewa Odds mlima hivyo?
Sure Mkuu Kuna watu wana Wivu Wa kike.Watanzania tuna tabia za ajabu sana. Yaani watu wana wivu hata kwenye mambo ambayo hayatakiwi kuonewa wivu.
Kuna watu wana pesa wanaweza kuchezea Milion 1 bila shida ila kwa mwingine hiyo M1 ni pesa ya kulisha familia miaka miwili.
Masikini ana wivu kuliko mtu yeyote yule.
Niko nyuma yako mkuu
Sawa mzee baba ... Thanks.
I can win 70K TZS at betPawa.co.tz, join now and win with me! https://www.betpawa.co.tz/share-897338d14
Cc MACHONDELA
Hazina maana yoyote.Iv izi over0.50, over 1.50, 2.50
Zina maana gan wadau
0.5 lipatikane goli 1, 1.5 wafungane magoli 2 na 2.5 wafungane magoli 3 basi utashinda. Hizo ziro (0) zitoe zinakuchanganya.Iv izi over0.50, over 1.50, 2.50
Zina maana gan wadau
Haya maswali kila siku watu wanajibu humu.Iv izi over0.50, over 1.50, 2.50
Zina maana gan wadau
Hadi kero bana.Hazina maana yoyote.