Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Huu uzi una maswali ya kujirudia rudia hadi umeonekana kama uzi wa 'huduma kwa mteja'.Hadi kero bana.
I thought ni goal range ningeruka nayo Mkuu...Norwich 1-3 chelsea
Odd 10+
BET WON mapema tu...Norwich vs Chelsea. G.G
Odds. 1.53
Stake. 1M
Hahahaha ten minutes ushindi tayariNorwich vs Chelsea. G.G
Odds. 1.53
Stake. 1M
Match ina goli nyingi hiyo ungeweza weka 4+I thought ni goal range ningeruka nayo Mkuu...
Ila kama ni correct score moyo unakataa kabisa...
Dah sina la kusema, endelea kufaidi ujasiri wako.Norwich vs Chelsea. G.G
Odds. 1.53
Stake. 1M
We jamaa bana unanifurahishaga sanaHazina maana yoyote.
Una nyota nzuri kwenye huu mchezo Mkuu...Mapema tu . Niko njian na drive to Moro mpaka nimepaki ππ
Bado kuna mjinga mmoja atasema ni fast bet.Mapema tu . Niko njian na drive to Moro mpaka nimepaki [emoji23][emoji23]
Jamaa utakuwa mchawi, dk ya 17 tuNorwich vs Chelsea. G.G
Odds. 1.53
Stake. 1M
πππ Usisumbuke nae, akitaka na ushaidi tunampaBado kuna mjinga mmoja atasema ni fast bet.
Big up.
Goli la kwanza Dk3.Jamaa utakuwa mchawi, dk ya 17 tu
Wale wa buku buku wapo busy wanamchangia za kesho... [emoji16] [emoji16]Jana na leo amevuna faida zaidi ya 1.5M