Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Atasema ni editing, huwa hawakosi sababu. Yote ya yote umenipa somo kubwa sana.[emoji23][emoji23][emoji23] Usisumbuke nae, akitaka na ushaidi tunampaView attachment 1189001
Tuagize beerpukki to score
Akili inaniambia matokeo ROLLERS vs YANGA yatafanana kabisa na KMC vs KIGALI.Baada ya Bookies kuangalia video za Molinga wamebadili gia angani.
Wale tuliowahi na kumpa ushindi "Meli ya Mjini" tunaweza kucheka baadaye. View attachment 1189003
Akili yako haikudanganyi iko sahihi, maana kama ndani ya akili yako kuna Yanga basi haiwezi kukudanganya.Akili inaniambia matokeo ROLLERS vs YANGA yatafanana kabisa na KMC vs KIGALI.
Away win 1-2
Unajua mkuu hata kwenye betting sites kuna sehem wanatoa maana ya hizo option.. Mtu akifanya hata kugoogle analetewa.. Ni kujiongeza tuu na mambo kama hayo.. Watu ni wavivu mkuu.Hazina maana yoyote.
Watanzania hatuna utaratibu wa kusoma. Nakumbuka wakati naanza kupiga punyeto niligoogle maana ilikuwa soo kuuliza washikaji.Unajua mkuu hata kwenye betting sites kuna sehem wanatoa maana ya hizo option.. Mtu akifanya hata kugoogle analetewa.. Ni kujiongeza tuu na mambo kama hayo.. Watu ni wavivu mkuu.
Atakuja tuu mda wake ukifika[emoji23][emoji23][emoji23]Bado kuna mjinga mmoja atasema ni fast bet.
Big up.
Unaweza kudhani watamwaga hivyo kipindi cha pili na ukaweka over 6.5 ukajikuta wanakumwaga wao [emoji3][emoji3][emoji3]Hii mechi ya Chelsea wameamua kumwaga magoli.
Hii mechi ya Chelsea wameamua kumwaga magoli.
Hahaha.. Ili uepuke presha mkuu[emoji23][emoji23]Atasema ni editing, huwa hawakosi sababu. Yote ya yote umenipa somo kubwa sana.
Mwezi wa 9 nitakuwa na stake pesa ambayo nitakuwa naacha simu kwa mtu na kumuuliza matokeo kwa simu nyingine.
Wanazani wote tuko levo za buku bukuBado kuna mjinga mmoja atasema ni fast bet.
Big up.
Nitakuwa nakabidhi mtu simu na ninamwambia akiona matokeo yako hivi anipigie simu.Hahaha.. Ili uepuke presha mkuu[emoji23][emoji23]
Dah niliweka odd zikiwa 3.5Baada ya Bookies kuangalia video za Molinga wamebadili gia angani.
Wale tuliowahi na kumpa ushindi "Meli ya Mjini" tunaweza kucheka baadaye. View attachment 1189003
Unaeza changanyikiwa eti[emoji23][emoji23]Nitakuwa nakabidhi mtu simu na ninamwambia akiona matokeo yako hivi anipigie simu.
Kipindi fulani niliwahi kubet 50k dah sitasahau siku ile, nilitoka jasho kama nipo jangwani. Simu imekuwa ya moto na mapigo ya moyo yakawa kama hayaendi sawa.
Kweli, siyo kila anaebet anatafuta hela. Wengine wanatoa hela benki ili kuziweka kwenye mzunguko.Wanazani wote tuko levo za buku buku