Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hamna vumba hapo,tatzo ni kutokujua kipi kitatokea, ni sawa na mtihani ukitoka chumba cha mtihani na majibu yanaanza kuja, mm nashauri usimpe mtu direct win hata awe baba yako mzazi, ww cheza over kwa kila timu mfano leo man city over 1.5, anaweza kutoa
Hiv kuna uwezekano muhind akawa anatumia vumba kufubaisha akili za wanaobet wasiamue ipasavyo..au hiz ni iman tuu..
 
Leo sina mambo mengi ... ashinde yeyote na yapatikane magoli mawili.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…