Ila hiyo game ya salt lake full pressure maana goli la kwanza lilifungwa dk ya 96 na la pili dk 99Leo usa mills wametoa over safi hakuna alie fataView attachment 1189732
Wolves wanataka kutoa roho yangu.
Mkuu Burnley huwa wanakaza sana hata wakifungika ni kwa mbinde haswa alafu wolves wana europa na Torino away,, ila mpira unadunda shusha presha ila 2M parefu mkuuWolves wanataka kutoa roho yangu.
Wolves katoka UEFA kupambana na TORINO. Hata hivyo focus yao ipo kwenye marejeano na TORINO home. Nguvu yao si kubwa hapo...Daaa mwenyewe nilivyofungua livescore moyo ukaenda kasi !! Ila jimenez ,jota , mountino and Neves they got your back brother more minutes to come
Haki Wolves akishindwa nakushauri mkuu usiweke tena uzi wako hapa.Wolves wanataka kutoa roho yangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaa bana... kwamba ww ndo sbab? ... hamna boss.. fuatilia vizuri utaona timu ambazo ziko michuano ya UEFA zinakuwa na uzito kwnye league. Haziweki tena focus huko ukitazama una mechi kubwa tena nyumbani... mimi niliogopa nikaipa ka over 0.5 tu kwakweliHaki Wolves akishindwa nakushauri mkuu usiweke tena uzi wako hapa.
Imagine siku ya leo nami nimekufuata kwa kumpa direct win.
Nina mkosi gani huuu!!!!!
Tena nimecheza single game ila naona ni kizunguzungu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaa bana... kwamba ww ndo sbab? ... hamna boss.. fuatilia vizuri utaona timu ambazo ziko michuano ya UEFA zinakuwa na uzito kwnye league. Haziweki tena focus huko ukitazama una mechi kubwa tena nyumbani... mimi niliogopa nikaipa ka over 0.5 tu kwakweli
Acha uongo. Liverpool jana alifungwa na nani?Jana game zote za EPL away teams walichomoza na ushindi, pengine hata leo mambo yanaweza kuwa hivyo...
Sh mia tisa hamsini inakutia kizungu zungu [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha ha ha ha aisee!Haki Wolves akishindwa nakushauri mkuu usiweke tena uzi wako hapa.
Imagine siku ya leo nami nimekufuata kwa kumpa direct win.
Nina mkosi gani huuu!!!!!
Tatizo hujui nasema nini.Jamaaa una moyo sana Mwenzio ameweka mzigo ambao unaweza ukawatolea mahali wanawake wawili we Umeweka hela ya vocha unalalamika 950 mia tisa hamsini !! Daah ila big up jamaa wanapiga mpira mwingi watashinda