Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tumfuate huyu Spart Prague InPlay ... ameanza kufunguka shots on target ... atashinda hii game

 
Mechi ya Spart Prague kuna goli linanukia ... sio kwa mishots on target hiyo.
 
Nimefungua account PM bet msaada jinsi ya kulipia ukishamaliza kuchagua timu
 
Naangalia game ya AS Roma vs Genoa ... kuna goli la tatu linakuja hapa in no time. First half over 2.5 itapendeza
 
Hivi Hawa parimatch wanashida gani yaani nataka kutoa kapesa kangu wananiambia niingize detail za security? Mbona sku zingine wasiniambie hvyo au wakati nadeposit?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…