Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

NATAKA NIJILIPUE NA HILO BOMU...USHAURI TAFADHARI KABLA SIJAINGIA ENEO LA TUKIO
 
alaaniwe spurs na kizazi chake chote
 

Attachments

  • Opera Snapshot_2019-08-26_081458_www.betpawa.co.tz.png
    101.5 KB · Views: 33
Dagenham & Redbridge - Yeovil2.28Dagenham & Redbridge WinBarrow - Fc Halifax Town2.07Barrow Win
 
Leo saa 11 game ndogo za England Natinali league North na South zinarud wale wazee wa 2+ vp tunaweza pata 2+ za kutosha? au ndio wamechoka maana walicheza jumamoc wamepumzika jana tu, hebu mwalimu KASHASHA tuambie kitaalam
 
Naombeni msaada,nimefungua akaunti hapo lakini nashindwa kuweka mkeka,nimemaliza kuchagua timu,nikaweka buku kwa kujaribu lakini tangu jana usiku kajibuku changu kako hapo sijui hawa jamaa wanataka nini,mpaka timu zangu za usiku nilishindw kuziwindua mpunga
 
Leo saa 11 game ndogo za England Natinali league North na South zinarud wale wazee wa 2+ vp tunaweza pata 2+ za kutosha? au ndio wamechoka maana walicheza jumamoc wamepumzika jana tu, hebu mwalimu KASHASHA tuambie kitaalam


Kutakuwa na 2+ za kutosha.
 
Naomba msaada kuweka hii bet,nimeweka buku inahang tu mkeka mbona hauendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…