Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Poleni sana wapenzi wa 1xbet, ilaumuni serikali kwa kuizuia isiwe inatumia njia za mobile money kama payment methods kwa hapa nchini, eti kisa hawakati kodi, Hahahahahahaaa!! Lakni kwa wajanja bado tunaitumia.
 
Tatizo sio kodi mkuu, mbona zipo kampuni hazikati kodi

Masharti yamewashinda
 
Wakuu naombeni odds 5-8 uhakika
uhakika labda ukacheze wewe mwenyewe timu zote, na refa uwe wewe mwenyewe. Hakuna odd za uhakika asikudanganye mtu na wala asikuibie mtu. Kwenye mpira chochote chaweza kutokea . Hakuna timu inayoingia uwanjani ikitaka ikafungwe, kila timu inajiandaa kushinda bila kujali odd ndogo walizowekewa na kampuni za kubeti
 
Masharti kama yapi mkuu?
Mengi mkuu ikiwepo
Acc za kampuni ziwe hapa tz gawiwo la faida ndio liende Russia
Wafungue .co.tz
Hakuna deposit zisizo rasmi bongo kama pay pal, bitcoin nk, yaani ni mobile na bank card
Waendeshe kwa sheria za bongo na sio sheria zao za kampuni inaweza kufuta ushindi wakati wowote bila kutoa taarifa nk
Kodi walipe na malimbikizo waliokua nayo kabla
Nk nk
 
Nimekusoma
 
*3jvhk*

_2.32 odds_

Falkenbergs - Hammarby
Both Teams To Score: Both Teams To Score - Yes
1.56
Bodo-Glimt - Valerenga
Both Teams To Score: Both Teams To Score - Yes
1.49

*mr opulence*
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…