Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hata Princess bet,tena usiombe ucheze mechi za bongo ndo utakoma,mi juzi niliweka gemu ya yanga yaani hadi saa 2 usiku kimya
Sababu nyingine ni ucheleweshaji yaan mpaka usubir dk 90 ndo wanakuwekea win hata kama ulicheza 2+ zikatokea kipind cha kwanza hawakuwekei mpaka game liishe. Labda kwenye live ndio wanawah.
Ila mimi sihami ng'o
 
waFootball wamenipa greenlight ... tunaanza maombi ya Tennis sasa kuanzia saa 12 jioni. Majibu ni kesho asbh. Fingers Crossed.


View attachment 1190455


Hatukuwa mbali sana (kwa waliofuata) ... it was a good attempt. Wachawi wa 3 out of 20. Sometimes naweka timu 2 na bado wanachana. Hii ilikuwa kumjaribu Kanjibah Kumar km angeweza kuitoa 1.25m 😛😜


 
Kuwa na heshima kwa wakongwe we kijana


Hahahah ... alijua mi ndo nimemaliza.

Ni kawaida yangu huwa nachambua mechi hata 20, then kupitia hizo ndio napick nazoziamini zaidi kwa siku hiyo. Kwa hiyo kokoro kwangu huwa ni pilot kwa ajili ya kupata za kutupia mzigo mrefu. I have been on this b'ness for long enough to know the risk of kokoro.

I hope kuna wengine walijiongeza wakachukua chache na mambo yakaenda mswano.
 
Chifu hakuna kukata tamaa, kwangu mm huwa nakuelewaga sana na hili kokoro nilifuata kama lilivyo na hizo 3 zingekubali kanjibah alikuwa anapigwa pesa ndefu zaidi ya hiyo yako but mapambano yanaendelea. Keep it up brother
Hatukuwa mbali sana (kwa waliofuata) ... it was a good attempt. Wachawi wa 3 out of 20. Sometimes naweka timu 2 na bado wanachana. Hii ilikuwa kumjaribu Kanjibah Kumar km angeweza kuitoa 1.25m 😛[emoji12]


View attachment 1191213
 
Lete za leo kaka mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…