Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

MKAKATI KUWASAJILI WACHEZA MICHEZO YA KUBAHATISHA WAJA

- Bodi ya Michezo ya Kubahatisha kuweka mfumo utakaowasajili wacheza michezo hiyo ili kuwadhibiti

- Mkurugenzi Mkuu wa bodi, amesema michezo hiyo ina madhara ya kiuchumi na kisaikolojia
How?
 
Huko Czech Republic kwenye MOL cup kuna neema ya magoli lakini hawa ******* betpawa wametukwepesha kwa makusudi..
 
MKAKATI KUWASAJILI WACHEZA MICHEZO YA KUBAHATISHA WAJA

- Bodi ya Michezo ya Kubahatisha kuweka mfumo utakaowasajili wacheza michezo hiyo ili kuwadhibiti

- Mkurugenzi Mkuu wa bodi, amesema michezo hiyo ina madhara ya kiuchumi na kisaikolojia
Hapa kazi tu

Si wa bitcoin na safaricom maisha yanaendelea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…