Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna Alkaida humu!!? Nauliza Tena kuna Al Shaaababuuuuuh!!? Hakuna??
 
Gal bet wakirekebisha issue yao ya withdrawal na kodi naweza kurudi kwao mazima..
Ila kwa sasa ngoja niendelee na parimatch tu ingawa odds zao ni ndogo compare na kampuni zingine
 
Hao nao hicho ndio kiliniondoa huko... Eti ukishinda mpaka uende betshop yao sasa wengine ni watu wa field/ugani kwa Sana unaweza kushinda mkeka uko maporini huko umebanwa eti mpaka uende kwenye viduka vyao ili nikera Sana...
 
Mm mwenyewe soon nitaanza kuwatumia 1xbet tayar new account nimeshafungua, bado kwenda kufungua account BANK ABC nipatet Visa Card maana nasikia wapo vizur kwenye maswala ya online transaction so nikishapata card yangu tu mchezo umeisha
 
Nackia V.A.R inasepa xana na ela za watu,,,,jaribuni kuepuka ligi zinazotumia VAR hasa wale wazee wakubetia magoli
 
Hao nao hicho ndio kiliniondoa huko... Eti ukishinda mpaka uende betshop yao sasa wengine ni watu wa field/ugani kwa Sana unaweza kushinda mkeka uko maporini huko umebanwa eti mpaka uende kwenye viduka vyao ili nikera Sana...
Niliwachana siku hiyo why deposit wakubali kwenye simu ila withdrawal mpaka utimbe dukan, nikawaambia mi npo kijijin wakasema tafuta mtu unayemuamin unampa code anatoa anakutumia
 
Gal bet wakirekebisha issue yao ya withdrawal na kodi naweza kurudi kwao mazima..
Ila kwa sasa ngoja niendelee na parimatch tu ingawa odds zao ni ndogo compare na kampuni zingine
kwenye withdrawal wanashida gani boss?
 
Hao nao hicho ndio kiliniondoa huko... Eti ukishinda mpaka uende betshop yao sasa wengine ni watu wa field/ugani kwa Sana unaweza kushinda mkeka uko maporini huko umebanwa eti mpaka uende kwenye viduka vyao ili nikera Sana...
Halafu sijui kwa nn hawataki kubadilika aisee..katika zama hizi za technology ilikofikia bado wanatulazimisha kubaki analogy za miaka ya 80...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…