Ni wahuni sana..game zimeisha tu wakauachia mtandao.
Hata ofisi zao hazipo kila eneo kama lengo lao ni watu watumie zaidi ofis zao kuliko online betting.
Saiv inafunguka..hiyo option mbn sijaiona karibun au wenge langu?Jamaa hawa website yao huwa ni nzito kufunguka mpaka inakera. Ila wana options nyingi na nzuri kwa kupiga pesa. Nilikuwa napiga pesa ndefu sana na ile optiion yao ya Zero bet. Nina zaidi ya mwezi kila nikijaribu kuingia mtandao haupatikana unakutana na ERROR message tu
Jibu ni rahisi,wale wa vikaratasi ndio wanaliwa zaidi buku buku zao.. online wengi wanatia "mizigo" kwahyo waoga kuliwa.Hao sijui kwa nini wanapata favour sana kuliko online
Saiv inafunguka..hiyo option mbn sijaiona karibun au wenge langu?
Ile si hua ina kuwepo kweny live matches emb jarib kuangalia kweny livegames za sasa iv sijui kama wameitoa iyo optnSaiv inafunguka..hiyo option mbn sijaiona karibun au wenge langu?
Haipo.Ile si hua ina kuwepo kweny live matches emb jarib kuangalia kweny livegames za sasa iv sijui kama wameitoa iyo optn
Saiv inafunguka..hiyo option mbn sijaiona karibun au wenge langu?
WOOOOOOON AISEEEEE...!!!InPlay;
FC Akhmat Grozny
Over 0.5
Aanh kumbe ni hiyo kwa jina lingine.Wamebadirisha siku hizi wameiandika REST OF MATCH
Aanh kumbe ni hiyo kwa jina lingine.
Hiyo hapana kabsa.
Yani ukicheza na betting utaliwa sana.. Leo barca kasema na 5000 yangu bora ningechoma nyama nusu nikala kudadeki.... Mimi naona double chance kwa team kubwa tena ikiwa nyumbani ni salama zaidi ukiwa na mtaji mkubwa
Hapana mkuu..Hiyo ni nzuri sana ukiizoea. yenyewe unapoichagua, inafuta matokeo ya nyuma, unaanzia pale ulipobeti hiyo mechi husika
*MR BOB SUPER TIP'S*.*MR BOB SUPER TIP'S*.
*BN* Z57PCZJV
WSG Tirol - FC Salzburg
2
1.12
Chelsea - Sheffield Utd
1 or Ov(2.5)
1.19
Union Berlin - Borussia Dortmund
2 or Ov(2.5)
1.16
Osasuna - Barcelona
2 or Ov(3.5)
1.30
Odd
2.01
| Union Berlin | 3 - 1 | Dortmund |